Uhusiano uliopo kati ya kesi ya Ugaidi dhidi ya Mbowe na tukio la jambazi

Tumia lugha ya staha...

Ukiitwa mbele ya vyombo vya sheria unaweza kuthibitisha madai yako?
Vyombo gani vya sheria? Labda vyombo vya biriani.

Unapinga sio gaidi wakati huo huo hausemi ni nani huyo mtu,tukueleweje sasa? Hauna analysis yoyote.
 
Vyombo gani vya sheria? Labda vyombo vya biriani.

Unapinga sio gaidi wakati huo huo hausemi ni nani huyo mtu,tukueleweje sasa? Hauna analysis yoyote.

Huenda alikuwa gaidi na huenda pia hakuwa gaidi...

Ndio maana hujaona katika matamko/taarifa za Jeshi la Polisi au Ikulu zikimtaja huyo bwana kama gaidi...
 
Mbona kaua askari wawili
Ni gaidi huyu tusimumunye maneno. Kaua Askari wa tatu na Mlinzi wa SGA mmoja. Serikali imetoa hizo taarifa now. Huyu kama hana akili Timamu asinge waua Polisi watatu vile na kuacha Raia. Alijua nini anakifanya. Vyombo vya Usalama Vifanye Uchunguzi sana. Yasije tukuta makubwa zaidi ya haya.
 
Huenda alikuwa gaidi na huenda pia hakuwa gaidi...

Ndio maana hujaona katika matamko/taarifa za Jeshi la Polisi au Ikulu zikimtaja huyo bwana kama gaidi...
Kama ndo unategemea Ikulu na polisi kujua ukweli,unapotea, hao hawana credibility yoyote na wamekuwa watu wa kuficha ukweli.

Tumia akili.
 
Mimi theory yangu inanipeleka Ufaransa pale, nadhani alilenga pale ila akakutana na kikwazo (polisi) akaamua kuwageukia wao. Hichi kinanifanya niamini nfio maana hakuangaika na raia sababu hawakuwa kikwazo kwake.

Ila sasa kwanini aende Ufaransa?, Kwanini pale?, Kwa matukio yanayoendelea na yaliyotokea hivi karibuni Msumbiji na ushiriki wa Rwanda kuwakabili magaidi kule na ikizingatiwa Mrundi kapata msaada ya Mfaransa basi Mfaransa naye ni adui wa magaidi wa Msumbiji

Sijasema Bonge ni gaidi la wala hata kama ni gaidi sijasema kuwa anauhusiano na wa Msumbiji ila lile tukio linaonekana ni tukio la kigaidi kabisa.

Kumuua nadhani ilikuwa ni lazima kama njia zote zilishindikana ila kumdhibiti ingekuwa njia bora zaidi.

Pole kwa familia za wahanga, jeshi la polisi, kampuni ya Ulinzi na Tz. Ugaidi sio poa kabisa si kitu cha kushangilia kwa vyovyote vile.
 

Na magaidi wengi walioko huko Mozambique ni watanzania pure kabisa wala sio wasomali.

Kule Kibiti ulisikia wasomali wangapi wameuawa?
 

I second you,alikusudia France embassy

Na magaidi wengi walioko huko Mozambique ni watanzania pure kabisa wala sio wasomali.

Kule Kibiti ulisikia wasomali wangapi wameuawa?
Wana mahusiano na wasomaji na waarabu,these people are barbaric and stupid
 
Akili in nywele kila MTU anazo zake

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Huyo jamaa wanadai aliendaga nje kusona elimu ya dini na aliporudi alitaka kwenda huko tena kujiunga na jihad ila baada ya hapo kila inasemekana mwao wana mgodi huko shinyanga na wao wanajishughulosba na biashara ya kujza madini na inasemekana kunaa madini yalikamatwa na polisi wakaambiwa eti ni feki hivyo yakataifishwa .
Sasa sijui kama ndio bifu lililopo au laa ila hii ngoma nadhani ndio kisa polisi fanyeni uchunguzi sio kwamba hamjui.
Nyuma ya tukio kuna dhuluma .
Ila pamoja na hayo bado kuna ugaidi hilo linawezekana
 
View attachment 1907849
MaCCM hivi akili mlipeleka wapi..huyu ni JAMBAZI Ila Mbowe ni GAIDI. Nyie jifanyeni hamnazo tu. Majeshi mliopeleka msumbiji, mjiandae na visasi vya MAGAIDI.
Duu .kumbe ni alshababu?? Mie pia Nina wasiwasi mwingi kuona jeshi letu lokoshitikiana na jeshi LA USA uhaidi unaweza ongezeka
 
View attachment 1907849
MaCCM hivi akili mlipeleka wapi..huyu ni JAMBAZI Ila Mbowe ni GAIDI. Nyie jifanyeni hamnazo tu. Majeshi mliopeleka msumbiji, mjiandae na visasi vya MAGAIDI.

Kwa hio ilitakiwa majeshi yasipelekwe Msumbiji ili magaidi yaanzisha dola yao pale Msumbiji na yawe majirani zetu sio?
 
Mitandaoni kuna kila aina ya utaalamu wa bila kwenda shule. Mtu kwa kuona video za tukio tu anajua huyu mtu ana akili timamu au la. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Siku hizi kila mtu ni mchambuzi wa kila matukio,kitu muhimu ni smart phone na bando tu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
 
Pole sana...
Ok ni jambazi kaiba nini?
Au ni mwizi kaiba nini?
Mgonjwa wa akili? Mbona akuua raia kaua polisi tu?
Muwe na akili ata kidogo tu au mmelogwa?
Nani kakuaminisha kua uhalifu ni lazima uibe kitu?
 
Comment yako imejaa maneno ya "Wanadai" "Inasemekana" huu uandishi umekaa kimbea mbea sana.
 
Pole sana...
Ok ni jambazi kaiba nini?
Au ni mwizi kaiba nini?
Mgonjwa wa akili? Mbona akuua raia kaua polisi tu?
Muwe na akili ata kidogo tu au mmelogwa?

ugonjwa wa akili una viwango.
tumia akili yote uliyopewa maana ina uwezo mdogo usiipime.
 

embu tuelekeze japo kwa ufupi polisi walitakiwa watumie mbinu gani pale,ili jamaa akiwaona aanze kuongea nao.

walitakiwa wamuonyeshe pesa,demu mkali,mtoto mdogo,au waende wamevua nguo??maana inawezekana unajua mbinu nyingi sem sema wakati wa tukio ulikuwa zako umelala home[emoji1787]
zingatia alirenga kuua mtu yeyote mwenye uniform.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…