Uhusiano wa bia na kula tunda kimasihara

Habari za wakati huu wana JF.

Baada ya kupitia ule uzi pendwa wa kula tunda kimasihara nimegundua visa vingi vimejengeka katika mazingira yanayohusisha matumizi ya vilevi.

Hivi sababu ni nini? Je vilevi vinahamasisha ulaji wa tunda kimasihara?
KANYWE POMBE NA WEWE ULE TUNDA KIMASIHARA MKUU
 
Habari za wakati huu wana JF.

Baada ya kupitia ule uzi pendwa wa kula tunda kimasihara nimegundua visa vingi vimejengeka katika mazingira yanayohusisha matumizi ya vilevi.

Hivi sababu ni nini? Je vilevi vinahamasisha ulaji wa tunda kimasihara?
Ulevi siyo poa kabisa, kama ulimfanya Nabii Daudi kucheza akiwa uchi, we mwenzangu na miye unayeishi Matombo itakuwaje usifanye upuuzi kama huo?

Pia hata Ke na Me wote wamejikuta wakifanya uzinzi na uasherati bila ridhaa zao sababu ya pombe hiyo hiyo.

Ogopa sana kitu ambacho kimeshapigwa marufuku na Sir God, ni hatari sana kwa maisha yako.
 
ila bia pia inaweza kutumika kwa mwanamke kukupa tunda kwa sababu zake na siko kukupenda. yaani analewa chakali ndio anakupa ili asijue nini kiliendelea
 
Ulevi siyo poa kabisa, kama ulimfanya Nabii Daudi kucheza akiwa uchi, we mwenzangu na miye unayeishi Matombo itakuwaje usifanye upuuzi kama huo?

Pia hata Ke na Me wote wamejikuta wakifanya uzinzi na uasherati bila ridhaa zao sababu ya pombe hiyo hiyo.

Ogopa sana kitu ambacho kimeshapigwa marufuku na Sir God, ni hatari sana kwa maisha yako.
Kweli kabisa.
 
Habari za wakati huu wana JF.

Baada ya kupitia ule uzi pendwa wa kula tunda kimasihara nimegundua visa vingi vimejengeka katika mazingira yanayohusisha matumizi ya vilevi.

Hivi sababu ni nini? Je vilevi vinahamasisha ulaji wa tunda kimasihara?
Vilevi ni kisingizio tu Cha kutafuta sababu[emoji16]
 
Back
Top Bottom