VMWare-Oracle
JF-Expert Member
- Dec 19, 2021
- 667
- 917
🤔🤔🤔Watu mmevurugwa, waganga, na wale wengine wasiogonga kileo wanakulaga matunda kimasikhara sana
Kwa hiyo bia zinawavuta wachuchuBia tamu a.k.a mario
KANYWE POMBE NA WEWE ULE TUNDA KIMASIHARA MKUUHabari za wakati huu wana JF.
Baada ya kupitia ule uzi pendwa wa kula tunda kimasihara nimegundua visa vingi vimejengeka katika mazingira yanayohusisha matumizi ya vilevi.
Hivi sababu ni nini? Je vilevi vinahamasisha ulaji wa tunda kimasihara?
Ila situmii kilevi mkuu.KANYWE POMBE NA WEWE ULE TUNDA KIMASIHARA MKUU
Ulevi siyo poa kabisa, kama ulimfanya Nabii Daudi kucheza akiwa uchi, we mwenzangu na miye unayeishi Matombo itakuwaje usifanye upuuzi kama huo?Habari za wakati huu wana JF.
Baada ya kupitia ule uzi pendwa wa kula tunda kimasihara nimegundua visa vingi vimejengeka katika mazingira yanayohusisha matumizi ya vilevi.
Hivi sababu ni nini? Je vilevi vinahamasisha ulaji wa tunda kimasihara?
Kweli kabisa.Ulevi siyo poa kabisa, kama ulimfanya Nabii Daudi kucheza akiwa uchi, we mwenzangu na miye unayeishi Matombo itakuwaje usifanye upuuzi kama huo?
Pia hata Ke na Me wote wamejikuta wakifanya uzinzi na uasherati bila ridhaa zao sababu ya pombe hiyo hiyo.
Ogopa sana kitu ambacho kimeshapigwa marufuku na Sir God, ni hatari sana kwa maisha yako.
Kwa nini mkuu?Chief Hangaya kazi anayo.
Ehee,akili gani hizi?ila bia pia inaweza kutumika kwa mwanamke kukupa tunda kwa sababu zake na siko kukupenda. yaani analewa chakali ndio anakupa ili asijue nini kiliendelea
Kwa takwimu niliyonayo inaonekana wanawake waonapiga tungi ni walaini kuomba gemu.Sehemu za siri ndio chemba ya vyombo, huwa vikikolea lazima vikatuame hapo...
Vilevi ni kisingizio tu Cha kutafuta sababu[emoji16]Habari za wakati huu wana JF.
Baada ya kupitia ule uzi pendwa wa kula tunda kimasihara nimegundua visa vingi vimejengeka katika mazingira yanayohusisha matumizi ya vilevi.
Hivi sababu ni nini? Je vilevi vinahamasisha ulaji wa tunda kimasihara?
Hivi huwa wanawazia matumizi ya kinga?Vilevi ni kisingizio tu Cha kutafuta sababu[emoji16]