Uhusiano wa boom na Crdb

Uhusiano wa boom na Crdb

Majanga90

Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
77
Reaction score
12
Tangu niingie chuo naona luna uhusiano mkubwa san kati ya hii bank na loan board. Hii ni wazi kwa sababu watu wa Crdb hutangulia kupata hela kuliko bank nyingine but inabore pale transactio inavyochukua hadi week wengine kupata hiyo hela. Hivi ni kweli board huandika cheque za Crdb tuuuuuuuu ? I wish all of us could be getting that money the same time.
 
Inategemea acc ya chuo chenu n ip. Mbna ss kwetu Nmb huwa wanaanza na crdb ndo huwa tunafata sku ya pili yake...
 
Nijuavyo mzigo (pesa) yoote inaingia crdb alafu wao wanadistribute kwenye bank zingine ,, huo ni utaratibu wa helbs
 
Loan board inamiliki a/c crdb so wao wanaandika cheque za crdb ambozo wenye kumilikia a/c huko clearance yake huwa ni siku moja ila kwa bank nyingine huwa ni 5 working days.
 
Loan board inamiliki a/c crdb so wao wanaandika cheque za crdb ambozo wenye kumilikia a/c huko clearance yake huwa ni siku moja ila kwa bank nyingine huwa ni 5 working days.

sometimes inatokea ina range one day kaka but hiyo five days inabore sana. Mfano watu wana hela za field but cc wa bank nyingine ni majanga bado
 
Back
Top Bottom