Tangu niingie chuo naona luna uhusiano mkubwa san kati ya hii bank na loan board. Hii ni wazi kwa sababu watu wa Crdb hutangulia kupata hela kuliko bank nyingine but inabore pale transactio inavyochukua hadi week wengine kupata hiyo hela. Hivi ni kweli board huandika cheque za Crdb tuuuuuuuu ? I wish all of us could be getting that money the same time.