tusipotoshane
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 730
- 694
Hivi kuna uhusiano wa harufu kali za taka mwili (tajwa hapo juu)zitolewazo kutoka mwilini kuendana na chakula tunachokula?Taka mwili ya watu gani(waafrika,wazungu,waasia)hunuka zaidi?
Bila kujali usafi,ni maliwato gani hutema zaidi kati ya watumiaji tajwa hapo juu hata usiweze kula karanga ukiwa ndani?
Je, sisi tunaokula viporo vya wali maharage ni sawa na hao wala soseji/vyakula vya supamaketi?
Wataalamu wa afya/wadau karibuni.
Povu ruhusa ila tusipotoshane.