Uhusiano wa harufu kali ya kinyesi/mkojo na aina ya vyakula tunavyokula

Uhusiano wa harufu kali ya kinyesi/mkojo na aina ya vyakula tunavyokula

tusipotoshane

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2018
Posts
730
Reaction score
694
Hivi kuna uhusiano wa harufu kali za taka mwili (tajwa hapo juu)zitolewazo kutoka mwilini kuendana na chakula tunachokula?Taka mwili ya watu gani(waafrika,wazungu,waasia)hunuka zaidi?

Bila kujali usafi,ni maliwato gani hutema zaidi kati ya watumiaji tajwa hapo juu hata usiweze kula karanga ukiwa ndani?

Je, sisi tunaokula viporo vya wali maharage ni sawa na hao wala soseji/vyakula vya supamaketi?

Wataalamu wa afya/wadau karibuni.

Povu ruhusa ila tusipotoshane.
 
Ukila vyakula vyenye protein kwa wingi mf. Maharage, vyama, mayai nk hutoa harufu ya sulphur yaani kama yai bovu kwasababu ya sulphur nyingi kwenye protein.
 
Ukila vyakula vyenye protein kwa wingi mf. Maharage, vyama, mayai nk hutoa harufu ya sulphur yaani kama yai bovu kwasababu ya sulphur nyingi kwenye protein.
Mkuu nakubaliana kabisa nawewe sulphur inatoa harufu ya rotten egg
 
Halafu pia kwa nini mara nyingi mtu ukijamba kwa sauti (flatulence) panaweza pasiwe na harufu kali tofauti na ukifanya hivyo kimya kimya ambapo hali ya hewa ugeuka na kuwa mtafutano?
 
Naongezea hivi kwanini kila kitu kinachoingia tumboni kikitoka kinakuwa na harufu mbaya iwe matapishi au mkojo even mavi
 
Ukila vyakula vyenye protein kwa wingi mf. Maharage, vyama, mayai nk hutoa harufu ya sulphur yaani kama yai bovu kwasababu ya sulphur nyingi kwenye protein.
Ongezea na matunda na juisi za matunda kama parachichi, papai na mengineyo, mbogamboga kama kabeji na vitunguu, maziwa na by-products zake. Mbona utapenda.
 
Kinyesi Ni mabaki ya chakula, takamwili Ni lazima zitolewe kutoka kwenye cell, feaces are food remains and waste product are materials which delivered from cell

Kwa hiyo kinyesi siyo takamwili??

Kumbuka; Takamwili= taka zitokazo mwilini.
 
Idiot! Have you bought your mind? Or you got it for free! Hii siyo fb dogo utakuwa umekosea platform!

🍒You skunk headed, don't just jump on issue without first ponder its context. The question rose when he said "kinyesi" (stool) is not "takamwili" (body waste product), thus I wanted to know on how he knows "Kinyesi"-- and that is all about the question. 🍒
 
Hahahahahaaa! Watu mmepinda kweli kweli.Hebu pitia wachangiaji wenzako walivyo changia pointi kisomi,isipokuwa huyu illiterate@ mbaga jr, nawe ukakomelea na komeo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom