Elly official
JF-Expert Member
- Sep 16, 2018
- 730
- 989
Usilete FAKE news hapa!!! Tutakuumbua!!Wasomali wameamua kama noma na iwe noma!View attachment 1024981View attachment 1024982
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kuangalia ramani hapo kenya wapo sahihiWasomali wameamua kama noma na iwe noma!View attachment 1024981View attachment 1024982
Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali ya Somalia haipo bila KDF itakuwa overun by alshabybe within no time. Wenye wivu uwanja wa watokwa povu ni wenu...welcome.
Exactly. After Marekani walipinga vikali Kenya kuingia Somalia, Kibaki na kichwa yake ngumu aliamua kuingia Somalia kama mbaya mbaya. Marekani walishindwa kitu ya kufanya juu bado wanatutegemea and we are their closest ally in this region. Ilibidi Marekani wanyamazie hio stori. Baadaye wakacome up na condition ati Kenya ikijoin Amisom watatusupport lakini Kenya ikawaambia tutajoin tukimaliza mission yetu which was to capture Kismayu. Huyo ni Kibaki, Uhuru sijui kama ako na hizo balls.
Hypocritical Danganyikans......kulikuwa na uhusiano baina yetu na Somalia???common sense is not common to Danganyikans I say
Nyinyi hata omba omba wenu hamuwezi wasaidia, sisi ndio tunawalisha kila siku. Mtawezaje kutulisha?
Kasema lini na sababu za uturuki kuweka base Somalia ni nini hasaWrite your reply...mturuki ako na mpango wa kuweka military base,somalia
ni kweli Kenya ni mshirika mkubwaaa wa marekani, israel na UK maana hata baada ya shambulio la balozi ya marekani mjini Nairobi mataifa hayo tajwaa yaliamua kuongeza misaada kwa kenya misaada ya kila aina ikiwemo mafunzo kwa vikosi maalum vya ulinzi na ilifikia wakati israel kupitia kikosi chao cha usalama na ukachero MOSSAD walikuwa wana toa mafunzo kwa GSF na SAS walikuwa na RECC hakika kwa jitihada izi za vigogo hawa Kenya inajeuri ya kuwatambia Somalia
Hapo ndipo Kenya mnapokosea mnapojidaia usa na Israel dunia sasa hivi ipo inarudi kwenye vita baridi kwaiyo kama Kenya ipo na usa kwenye hip mgogoro ili achukue mafuta basi na China atakuwa na Somalia
Bila kumsahau Iran huyu yeye furaha yake ni kuwa kinyume na usa tu so Iran na China na wenyewe ndani ya game
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Sasa ikiwa under alsabab nyie hali yenu itakuaje?Serikali ya Somalia haipo bila KDF itakuwa overun by alshabybe within no time. Wenye wivu uwanja wa watokwa povu ni wenu...welcome.
Kama ni kweli basi ..huko mbele kazi ipo ...Write your reply...mturuki ako na mpango wa kuweka military base,somalia
Jinsi mpaka wa Tanzania na Kenya ulivyo ipo siku haya mambo yatahamia Tanzania Vs Kenya.