Uhusiano wa kidiplomasia kati ya Kenya na Somalia umevunjika rasmi

Uhusiano wa kidiplomasia kati ya Kenya na Somalia umevunjika rasmi

I told you before kenya sio nchi nzuri, na rwanda pia katika ukanda wa east africa, ni nchi za wanafiki na wazandiki zinazotumiwa na marekani kukandamiza nchi jirani. Kenya soon wataanza figisu na tz sudan na uganda, rwanda na congo na burundi. Ngojeni mgonjwa kichaa arudi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hypocritical Danganyikans......kulikuwa na uhusiano baina yetu na Somalia???common sense is not common to Danganyikans I say
 
Attachments

  • DznjlMKWkAQzyA4.jpg
    DznjlMKWkAQzyA4.jpg
    92.7 KB · Views: 26
Serikali ya Somalia haipo bila KDF itakuwa overun by alshabybe within no time. Wenye wivu uwanja wa watokwa povu ni wenu...welcome.

Acha urongo ww kwani AMISOM ni jeshi la kenya pekee yake ?
tusubiri kauli ya mhe. Uhuru kenyatta
 
Exactly. After Marekani walipinga vikali Kenya kuingia Somalia, Kibaki na kichwa yake ngumu aliamua kuingia Somalia kama mbaya mbaya. Marekani walishindwa kitu ya kufanya juu bado wanatutegemea and we are their closest ally in this region. Ilibidi Marekani wanyamazie hio stori. Baadaye wakacome up na condition ati Kenya ikijoin Amisom watatusupport lakini Kenya ikawaambia tutajoin tukimaliza mission yetu which was to capture Kismayu. Huyo ni Kibaki, Uhuru sijui kama ako na hizo balls.

ni kweli Kenya ni mshirika mkubwaaa wa marekani, israel na UK maana hata baada ya shambulio la balozi ya marekani mjini Nairobi mataifa hayo tajwaa yaliamua kuongeza misaada kwa kenya misaada ya kila aina ikiwemo mafunzo kwa vikosi maalum vya ulinzi na ilifikia wakati israel kupitia kikosi chao cha usalama na ukachero MOSSAD walikuwa wana toa mafunzo kwa GSF na SAS walikuwa na RECC hakika kwa jitihada izi za vigogo hawa Kenya inajeuri ya kuwatambia Somalia
 
Hypocritical Danganyikans......kulikuwa na uhusiano baina yetu na Somalia???common sense is not common to Danganyikans I say

ww kiwango chako cha elimu ni level gani ? sasa kitendo cha kuwepo balozi wa nchi moja nchi kwako ndio maana ya uhusiano wa kidiplomasia.... ndio maana kenya kafukuza balozi ya somalia na kumrudisha balozi wa kenya nchini somalia that is the meaning of diplomatic relation unless you don't understand your country may be you are not kenyan .......
 
Nyinyi hata omba omba wenu hamuwezi wasaidia, sisi ndio tunawalisha kila siku. Mtawezaje kutulisha?

hahaha ile makala ya citizen tv niliiona ila offcourse ukiwatazama wale beggers pasipo shaka wale sio wa TZ na hata kama ni wa TZ uliwasikiliza jinsi walivyokuwa wakisema... walisema kuna jamaa aliwachukua toka eneo moja huko mpakani akawaambia Kenya beggers wanapata sana pesa .. lkn ikawa vise versa wao wanaomba then kuna jamaa ndio jioni ana collect pesa wanayopata then wanagawiwa kidogo as divident so conclusion do not jump into decision faster
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Hapo ndipo Kenya mnapokosea mnapojidaia usa na Israel dunia sasa hivi ipo inarudi kwenye vita baridi kwaiyo kama Kenya ipo na usa kwenye hip mgogoro ili achukue mafuta basi na China atakuwa na Somalia

Bila kumsahau Iran huyu yeye furaha yake ni kuwa kinyume na usa tu so Iran na China na wenyewe ndani ya game
ni kweli Kenya ni mshirika mkubwaaa wa marekani, israel na UK maana hata baada ya shambulio la balozi ya marekani mjini Nairobi mataifa hayo tajwaa yaliamua kuongeza misaada kwa kenya misaada ya kila aina ikiwemo mafunzo kwa vikosi maalum vya ulinzi na ilifikia wakati israel kupitia kikosi chao cha usalama na ukachero MOSSAD walikuwa wana toa mafunzo kwa GSF na SAS walikuwa na RECC hakika kwa jitihada izi za vigogo hawa Kenya inajeuri ya kuwatambia Somalia

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Hapo ndipo Kenya mnapokosea mnapojidaia usa na Israel dunia sasa hivi ipo inarudi kwenye vita baridi kwaiyo kama Kenya ipo na usa kwenye hip mgogoro ili achukue mafuta basi na China atakuwa na Somalia

Bila kumsahau Iran huyu yeye furaha yake ni kuwa kinyume na usa tu so Iran na China na wenyewe ndani ya game

Sent using my iPhone using jamiiforum app

hahaha china waoga wale wa vitaa hawezi scramble ya kuingia msituni kumwaga jeshi ktk heavy battle kwa ajili ya resource ...
 
Jinsi mpaka wa Tanzania na Kenya ulivyo ipo siku haya mambo yatahamia Tanzania Vs Kenya.
 
Back
Top Bottom