Uhusiano wa kimapenzi na Mwanamke aliyekuzidi umri ni hatari Mkataba

View attachment 3671646
Nimekuja ila sina maelezo, sijawahi kujaribu kijana niliyemzidi umri, ila huko mbeleni ninaweza kutaka kujionea nyie vijana wa alfu mbili mna maajabu gani πŸ˜‚πŸ˜‚
Vijana wa 2000 wamekusikia watakupapatikia huko PM kama kumbikumbi wa mvua za vuli.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Ushauri mzuri sana, ngoja marioo waje kutia neno.
 
Hii dialogue nimetoka kuifanya na jamaa yangu juzi, hili suala ni kweli kabisa.
Huwa wanasema katika mapenzi kunakua na transmission ya spiritual package.
Sasa ni hatari mwanamke akuzidi umri means magnetic power yake ni kubwa kuliko yako lkn ukimzidi umri hata kama anamikosi power yake ni ndogo kuliko yako wewe utabaki salama.
 
Nimejifunza kumbe nitafute katoto ka miaka 14 Ili nibadilishane naye nishati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…