Uhusiano wa kunywa pombe na kukosa usingizi.

Uhusiano wa kunywa pombe na kukosa usingizi.

Vmark.

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
1,353
Reaction score
270
Hola amigos! Naombeni ufafanuzi jf doctors kati ya kunywa pombe na kukosa ucngizi uciku....this thing disturbs me a lot i.e jana nilikunywa bia tatu nikalala saa nne but kufika saa nane ckupata ucngizi hadi saa kumi na mbili asubuhi....na hii si mara ya kwanza ni mara nyingi tu inanitokea! Naomba ushauri uzingatie weledi pliiz hommiez!

Ulikunywa ya moto wewe kunywa baridi unakuwa bwaksi hd asbh

Ulikunywa ya moto wewe kunywa baridi unakuwa bwaksi hd asbh

asante mopaoz bt huku nilipo chali angu hakuna haja ya kunywa za baridi bse huku ni ful baridi jombaa!

pombe inazidisha inanyororesha usingizi. je wewe unatumia sigara kubwa? au madawa?

pombe inazidisha inanyororesha usingizi. je wewe unatumia sigara kubwa? au madawa?

asante narubungo but mi madawa cjawah ku2mia na wala cta2mia bra but in addressing other peoples' problems u better focus on proffesionalism! Thnx 4 ua contribution anyway!

Very possible unakunywa ukiwa na tensions, ikifika usiku mwingi effect ya kileo inakwisha tensions ziko pale pale. Lazima ukose usingizi mkuu.

I had that problem when l was taking beer! Nikahamia kwenye pombe kali na wine, sipati shida hiyo. Kuna Mzungu mmoja nafanya naye kazi naye hanywi beer coz of that!

Jaribu kiasi kdg cha pombe kali, then uone!

Asanteni wakuu! Nitaufanyia kazi ushauri wenu.

Jaribu kunywa ukiwa na furaha na si majonzi....utapata usingizi....kwa hiyo kunywa na company ya merrymaking na si ya somberness

kwan usipokunywa unapata usingizi mpaka asubuhi? Kama jibu ni ndiyo basi usinywe achana nayo pombe kitu gan zaidi ya utumwa

Mmmmmh! Kweli JF jungu kuu... mpaka wataalamu wa ulevi wamejaa kibao!

Hola amigos! Naombeni ufafanuzi jf doctors kati ya kunywa pombe na kukosa ucngizi uciku....this thing disturbs me a lot i.e jana nilikunywa bia tatu nikalala saa nne but kufika saa nane ckupata ucngizi hadi saa kumi na mbili asubuhi....na hii si mara ya kwanza ni mara nyingi tu inanitokea! Naomba ushauri uzingatie weledi pliiz hommiez!

ni kweli kbsa hata mimi inanitokea sn na si kama nakunywa nikiwa na mawazo.

Jaribu kutumia Ulanzi au Mnazi. Seriouz utanipa matokeo.
May take: unaweza ukapitiliza hata muda uliokuwa unapenda ungeamka. 9c wikend

alcohol use can induce sleep disorders by disrupting sequenc and duration of sliping and altering total sleep tm unaohitajika. Hii hutokea pale alcohol has been completely metabolized from the body. Ndio maana ukinywa pombe nyingi au kali sana haitokei mara nyingi. This happens in the second half of 8 hrly sleep episode. Muda mwingine pombe husababisha hali inayoitwa obstructive sleep apnoea(kuwa kama umekabwa unapolala)kwa sababu ya kulegeza misuli ya njia ya hewa. Hii husababisha ubongo kukosa hewa na kustuka wakati wa ucku. Chukua tahadhali unywaji wa pombe una madhara yake mkuu!

Back
Top Bottom