OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,562
Mtoto wa dadangu anamiaka 6 na nusu yupo darasa la pili wakiume ana akili sana yani ni so bright na kachangamka sana, nae anatatizo la kunyonya kidole cha mkono wa kulia na kushika watu makwapa kwa kidole cha mkono wa kushoto na kunusa kidole alichoshika kwapa la mtu yani hadi anaboa tumetumia njia zote imeshindikana, ila akiwa shuleni,kanisani na sehemu yenye watu wengi anaogopa kunyonya.
hili tatizo la kushika watu makwapa ndo linakasirisha sana mwenye ushauri wowote wa kuitokomeza hii tabia?
Ha ha ahaaaaaa kwenu hamvai nguo za juu????!!!
Nyie ndio muache tabia mbaya "ya kumruhusu mtoto kuwashika makwapa" maana akibadili "eneo la kupenda kushika" sidhani kama utakuja kulalama hapa tena!!!!
Hebu jikazeni watu wazima bhanaaaaa khaaaaa mnashikwa makwapa halafu mnamlalamikia mtoto????!!!!