Uhusiano wa mtoto kunyonya kidole na uwezo wake kiakili



Ha ha ahaaaaaa kwenu hamvai nguo za juu????!!!
Nyie ndio muache tabia mbaya "ya kumruhusu mtoto kuwashika makwapa" maana akibadili "eneo la kupenda kushika" sidhani kama utakuja kulalama hapa tena!!!!

Hebu jikazeni watu wazima bhanaaaaa khaaaaa mnashikwa makwapa halafu mnamlalamikia mtoto????!!!!
 

Mwambie mama aache uvivu amnyonyeshe mtoto ipasavyo, hapo dogo anakosa kampani ndo maana anajiliwaza kivyake.
Mtoto huanza kunyonya kidole akiwa tumboni. Akizaliwa ataacha endapo tu atapata nyonyo kisawasawa.

Kumbuka likizo ya uzazi ni miezi mitatu, dogo kashtuka siku hizi kula hadi saa saba saba hivi. anajaribu kutafuta kitafunio cha karibu.

Dogo anakosa kampani huyo!
 
Siamini kama ni urithi, ni mtoto kuachwa hajashiba kwa muda, hasa anapokuwa mdogo sana.
Mie niliona, nililazwa kwa siku nzima, sikuweza nyonyesha, ile narudi ananyonya kidole/ulimi.

Naamini kuna tatizo huwa linatokea kwa mtoto bila hata mzazi kujua, ndio anaanza kunyonya kidole.

 
Asante, kumbe na wewe unajua ni kuwa mtoto anakuwa aidha iddle au anakosa chakula cha kutosha. Mimi hii niliabiwa na daktari mmoja.

 

Tuko pamoja dada "urithi" nilimaanisha akili/ sijui ndio uwezo wa darasani/smartness!!!!
 

huyu mtoto anategea mda unaokuwa upo bize na mambo yako utashangaa kitu hicho kwapani afu fasta anakimbia coz anajua akikaa karibu anapata mkong'oto .
 
huyu mtoto anategea mda unaokuwa upo bize na mambo yako utashangaa kitu hicho kwapani afu fasta anakimbia coz anajua akikaa karibu anapata mkong'oto .

Miaka sita na nusu anakimbia wapi huko watu wazima wasipoweza kufika?????
Siku "atakapomchokonoa kwapa" mgeni mnayeheshimiana naye hapo kwenu ndio mtajua ukicheka na nyani utavuna mabua!!!!!
 
Michango mizuri kwa mada hii ngoja na wengine tunufaike kidogo

Ngoja nikomelee.

Kwa mujibu wa mtoa maada, mtoto ana miezi mitatu, tangu aanze kunyonya kidole ni wiki sasa.

Huyu mama mtoto atakuwa ni mwajiriwa sehemu hivi.Kwa hiyo likizo yake ya uzazi imeisha,
dogo kastuka mbona wiki hii nyonyo ya tabu tabu hivi? Ikabidi atafute namna ya kujiliwaza.

Na hiyo ni dalili kwamba wanaomlea mama akiwa hayupo hawampi "close parental care"

Ili aweze kuacha ni kumpa nyonyo ya ukwee kisawasawa.
Mtoto hunyonya kidole tangu akiwa tumboni, ndo maana akilia tu baada ya kuzaliwa ujuzi wa kunyonya juu.
 
Miaka sita na nusu anakimbia wapi huko watu wazima wasipoweza kufika?????
Siku "atakapomchokonoa kwapa" mgeni mnayeheshimiana naye hapo kwenu ndio mtajua ukicheka na nyani utavuna mabua!!!!!

we wasema, hivi hujui mtoto ukimkimbiza yeye ndo anaona burudani ataona kama ka mchezo?sasa huyu ukimkimbiza inakuwa mnakimbizana.....na huwezi ukawa unakimbia kila saa na nitabia ya toka utotoni sasa miaka yote hiyo sita mtu mzima ukiwa unakimbizina na mtoto itakuaje?inafika hatua unachoka unamchukulia kama alivo . ila wageni wa kuja na kuondoka huwa hawashiki hadi akuzoee.
 

Ok mkuu sasa cha maana msinyoe makwapa ili "mwanetu" achukulie mambo kama yalivyo kwa tabia yake toka utotoni!!!!!!!!
Ofkozi kukimbia kila wakati michosho meen,sababu kila wakati mnakuwa hapo home.mnasubiri atoke skuli aje "atoweze" kwapani!!!!!!!

Umesomeka mkuu
 
He he he, watashangaa.

Katoto ka miaka 6 tu? Mikwaju mi2 tu anajua nafasi yake kabisa na adabu mbele kama tai. Wamemwachia tu.

Jicho tu linamjulisha kabisa kuwa hapa "kitanuka"saa yoyote seuse miaka sita na nusu!!!!!!
Huyu akienda dukani asipopewa chenchi anadai, akikupa hela umuwekee anakumbuka,ukienda shopping anachagua nguo mwenyewe ndio asijue mipaka yake???????!!!!!
 
maelezo haya yana ukweli fulani!
 
 
[QU OTE=som de sam;8629542]Mwanzo wakunyonya kidole unanjia mbili, moja mtoto mdogo sana kuanzia siku moja huwa ni njaa na mbili Mtoto mkubwa kidogo kama miaka miwili yawezakuwa kuiga. Baadae inakuwa mazoea ya hiyo tabia. Ikishakuwa mazoea basi hunyonya hata akiwa kashiba au usingizini.[/QUOTE]
Tatu ni genetic(inheritance) na uhusiano na akili hakuna icho kitu izo ni myth tu,those r street words,
 
wangu ana miaka miwili akiwa na usingizi ukimkalia karibu atakutekenya maziwa mpaka ukome na ukimtoa tu usingizi unamruka na analia vibaya mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…