Uhusiano wa u-genious na Ukichaa

Napenda sana hizi movie mkuu kama unazijua nyingine naomba unitajie
 
Hapo kwa Albert Einstein nadhan hata hapa kwetu tumewahi kuwa na wetu,kama mtakumbuka kama sio mwaka jana basi mwaka juzi kuna mwalim wa chemistry alikutwa na uchafu ndani,mimavi,mamikojo nini inawezekana nae alitaka kuvumbua kitu chake.case yake sijui iliishia wapi ingewezekana angetafutwa ahojiwe ninini hasa alichokusudia kufanya na ule uchafu.
 
hahah
 
Inawezekana mkuu,atafutwe ahojiwe yawezekana alikuwa na nia nzuri alipokamatwa watu walimwita ni mchawi,aweza kuwa na kipaji kikaendelezwa nilidhani ajabu kumbe hata magwiji wa uvumbuzi yalishawahi kuwakuta.
 
Hii kitu inaukweli fulan na kama sisi ni watu wakufuatilia bas chunguza wehu wa kike wakizaa then mstudy mtoto huyo uwezo wake darasani utagundua wanauwezo mkubwa sana kimasomo sema wengi wao ni ngumu kuwagundua maana wanakuliamazingira ambayo hawapelekwi shule
 
Hao walio wagundua kwamba wanasayansi wengi ni vichaa.
waliwagunduaje kama na wao sio vichaa vilikuwa vinawasumbua?
 
Mkuu umechambua vzr sana ila niltaka kuongezea ktu according to traditional classification of mental illness imeganyika ktk sehemu kuu mbil
1.functional psychiatric disorders
2.organic psychiatric disorders

Ktk functional ndio kuna hzo ulizoztaja psychosis and neurosis
Ktk psychosis ndo kuna schizophrenia, mania ect.

Na ktk neurosis ndo kuna phobia, obsessive compulsive disorder, ect. Na personality disorder zote kama hzo ulizozitaja hapo juu nazo zote znaingia kwenye neurosis.

Nawasilisha
 
Kweli walio wengi historia zao zina utata, Father of genetics ni mmojawapo, wapo walioshindwa mitihani ya kukariri na kuamua kufanya yao.
 
Asante mkuu
 
The thing about SMART people.... They sound CRAZY to dumb people.

Bet you feeling dumb right now no offence
 

Kwa Africa watu wa hivyo ni vichaa. Magenius wapo mabara mengine huko.
 
j. nash kahudhuria sana mirembe za marekani.
Truu...Jamaa aligundua formula kali ya Mathematics tatizo alikua na ukichaa wa kujenga mawazo ambayo hayakua halisia...A Beautiful Mind
 
Truu...Jamaa aligundua formula kali ya Mathematics tatizo alikua na ukichaa wa kujenga mawazo ambayo hayakua halisia...A Beautiful Mind
alifikia hatua ya kurekebisha nadharia za baba wa uchumi zilizodumu na kuaminika sahihi kwa zaidi ya karne na nusu.
chizi yule alikuwa na akili kuliko sisi wazima kwa mbali sana!
 
Tunapaswa kutambua kuwa Mwenyezi Mungu hakupi vitu vyote,utajaliwa upande huu, upande mwingine anakunyima kwa ajili ya wengine, ndivyo maisha. chukua kwa mfano, mtu ajaliwe akili nyingi, maisha bora, mke/ mme bora, watoto bora, nk hako kutakuwa na usawa kweli.?? Ndiyo maana utakuta mtu tajiri mwenye kila kitu lakini unakuta mtoto wao anaumwa umwa kila muda hospitalini tena zenye gharama kubwa, lakini masikini mtoto wake anakunywa maji ya rambo, chakula kisicho bora lakini anakaa mpka mwaka bila kuugua, hiyo yote ni kwa neema za Mwenyezi Mungu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…