Utawala bora na haki za binadamu ni mambo yanayokwenda kwa pamoja.
Hii ni kutokana na ukweli kamba ukiukwaji wa misingi ya utawala bora unasababisha uvunjaji wa haki za binadamu; na uzingatiaji wa misingi ya utawala bora unasaidia ulinzi na hifadhi ya haki za binadamu.
Jedwali lifuatalo linaonesha jinsi misingi ya utawala bora inavyojitokeza katika haki mbalimbali za binadamu: