Kijora kina reflect umasikini moja Kwa mojaKwenye umasikini sina uhakika...
Naunga mkono hoja kwenye ugawaji wa asali(sample Tanga)
Salma Kikwete huvaa kijora...Kijora kina reflect umasikini moja Kwa moja
Huyu hata ukimhonga elfu 7 na mia 5 atakuona bonge la bwanaIla ukiwaangalia kwa namna tofauti ni watu ambao huwa wanafuraha.....hawana komplikesheni kabisa.
Mtu anakua zake na hela ya unga robo, miguu ya kuku na kachumbali, siku imeisha.
Kodi hawazi anakaa nyumba ya wazazi na mme anaemuoa (kama yupo) nae anahamia nyumba hiyo hiyo. Kama hana mme anazaa watoto wa baba mbali mbali akiwa hapo kwao.
Anacheza mchezo wa buku mbilimbili ili apate hela za kijora na mkorogo. Alhamisi, ijumaa, jmosi, jpili ni kuhave fun Ngoma kwa kwenda mbele.....
Kuna mvaa kijora mmoja akitumiwaga elf 5 namuona anavyosisimka......Huyu hata ukimhonga elfu 7 na mia 5 atakuona bonge la bwana
Halafu ukitaka umteke kabisa mkopee simu ya mkopo uwe una mlipia kila siku mia 7
Ni dera like siyo kijora cha buku 6 TandikaSalma Kikwete huvaa kijora...
Ukute kabana kwapani na hajavaa braa nyonyo zinajimwaga mwaga tu hapo juu.....aseeee.Mi uwa najiuliza, kwanini kila mvaa kijora lazima akibane kwapani kisiburuzike, Si wavipunguze urefu?
Mabwana zao ndio sisi mawinga hela kama hiyo lazma ajione heaven girlKuna mvaa kijora mmoja akitumiwaga elf 5 namuona anavyosisimka......
Hadi raha