Uhusiano wa vazi la kijora na Umasikini

Uhusiano wa vazi la kijora na Umasikini

Watu mana wivu Sana, yaani Sisi maskini kununua kijira Tu inakuwa nongwa, mbobanyie matajiri mnaumia mamilion kula bata na kulala mahoteli ya gharama n hatuwafatilii

Unajua nyie matajiri kama sio Mungu mngetuteketeza kbis kwenye uso wa dunia.

Maskini akinywanhata boa Nne Tu za elfu 15 anaitwa hajielewi anaharibu maisha.

Nyie unatumia hata 1M kwa siku.
Mnapenda kutuona Sisi tukiteseka ndio furaha yenu ili mjisikie vizuri
Wana nyege , kiufupi hao wanateseka na huo utajiri wao wa mchongo
 
Ila ukiwaangalia kwa namna tofauti ni watu ambao huwa wanafuraha.....hawana komplikesheni kabisa.

Mtu anakua zake na hela ya unga robo, miguu ya kuku na kachumbali, siku imeisha.

Kodi hawazi anakaa nyumba ya wazazi na mme anaemuoa (kama yupo) nae anahamia nyumba hiyo hiyo. Kama hana mme anazaa watoto wa baba mbali mbali akiwa hapo kwao.

Anacheza mchezo wa buku mbilimbili ili apate hela za kijora na mkorogo. Alhamisi, ijumaa, jmosi, jpili ni kuhave fun Ngoma kwa kwenda mbele.....
Maisha yanakuwa magumu kwa vile unavyoyachukulia mwenyewe
 
Siku hizi huko kwenu mikoani mtu akirudi amevaa kijora anaonekana wa mjini na wa maana sana. Wakti wa Dar es salaam wapenda vijora na shughuli tunaona wa kawaida na sare au nguo ya kushindia.
 
Wana nyege , kiufupi hao wanateseka na huo utajiri wao wa mchongo
Yaani nawashangaa kila siku ni kusema maskini Tu, kwani amewaomba pesa zao? Kama wao wanakula nyama na pilau Sisi zetu ni Bamia na Ugali, kuchemka tunacheka wote, kulala sote tunasinzia na wakati wa kulia kila mtu anatoa machozi, hapo ndipo Mungu katuweza

Wao wakae na pesa zao na furaha zao na familia zao, Sisi watuache na maisha yetu na familia zetu
 
Halafu cha kushangaza hao matajiri wakija mjini ndo wanakua mabar maid na wanajiuza, ukiingia telegram wasap group na hata kwenye mabar majina ni haya tu QUEEN, HAPPY, LUCY, JANE , PRISCA , SALOME , NANCY,
Wauza madawa, wasagaji na mashoga ni matajiri
 
Back
Top Bottom