MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,232
- 152,252
Kwahiyo Huwa unawanunulia😁
Wanaume wa jf mbona mnatuchosha jamani,
Wanaume wa jf mbona mnatuchosha jamani,
hahahahahaha, yaani mule muleIla ukiwaangalia kwa namna tofauti ni watu ambao huwa wanafuraha.....hawana komplikesheni kabisa.
Mtu anakua zake na hela ya unga robo, miguu ya kuku na kachumbali, siku imeisha.
Kodi hawazi anakaa nyumba ya wazazi na mme anaemuoa (kama yupo) nae anahamia nyumba hiyo hiyo. Kama hana mme anazaa watoto wa baba mbali mbali akiwa hapo kwao.
Anacheza mchezo wa buku mbilimbili ili apate hela za kijora na mkorogo. Alhamisi, ijumaa, jmosi, jpili ni kuhave fun Ngoma kwa kwenda mbele.....
Hela ya kijora na mkorogo inatoshaWengine hawataki chochote yani akikupenda atakununulia nyagi atakupikia hadi kukuogesha.
Humpi shnkumi na mradi mshedede anapata bure
ni tofauti nadhani ila mpk ujue kijora ni kipi na dera ni lipi, mie na wewe hatuwezi kuona huo utofautiKijora ndio dera?
mmmmhMkiwafikia wavaa baibui mnishtue😁
Muweke na bei zake.
jasho sasa,vumbi miguuniUkiwapa chupa ya k vant wanajimwaga chini kama kambale
Ee waweke na bei ya mapashmina😁mmmmh
nilishaoa miaka 15 ilyopita, na hakukua na hayo mamboEe waweke na bei ya mapashmina😁
Niharike kwenye harusi yako najitolea sare ya vijora nitagawa bure.
Mkuu,Watu mana wivu Sana, yaani Sisi maskini kununua kijora Tu inakuwa nongwa, mbona nyie matajiri mnatumia mamilion kula bata na kulala mahoteli ya gharama na hatuwafatilii?
Unajua nyie matajiri kama sio Mungu mngetuteketeza kbisa kwenye uso wa dunia.
Maskini akinywanhata boa Nne Tu za elfu 15 anaitwa hajielewi anaharibu maisha.
Nyie unatumia hata 1M kwa siku.
Mnapenda kutuona Sisi tukiteseka ndio furaha yenu ili mjisikie vizuri
Mkuu, kijora au dira ni vazi la kiheshima sana. Ni afadhali kuvaa kijora kuliko kimini.Kuna uhusiano mkubwa kati ya jamii zinazovaa vazi la kijora na umasikini ambao unaweza kuushika kwa mkono.
Jamii hizi zinaendekeza sherehe (shughuli) kuliko shughuli za kujitafutia kipato. Ndani ya mwezi mtu anaweza kuhudhuria sherehe zaidi ya tano na kote inabidi atunze (zawadi).
Wanajisitiri lakini ni wanagawa urojo kirahisi sana.
Hatari😋, yaani kuna style za hatari, huku usije utaacha ndala.Unapewa pigo za chura au sio
Ile video ya binti wa mombo iliyo trend wameshika million dollars alikuwa kavaa kijora!Mkuu,
mleta mada ni choka mbaya,ndio maana anapata muda wa kuchunguza wanawake wanavaa nini na wanakwenda kwenye sherehe mara ngapi kwa mwezi,na wanatunza kwenye kila sherehe,
Hivi unafikiri mtu mwenye maisha yake anaweza kua interested kuanzisha uzi wa aina hii au kufuatilia life style za wanawake? jibu ni hapana.
nafanya tafiti ya maendeleo ya uchumi ya jamii zinazovaa hili vazi, hovyo sanaMkuu,
mleta mada ni choka mbaya,ndio maana anapata muda wa kuchunguza wanawake wanavaa nini na wanakwenda kwenye sherehe mara ngapi kwa mwezi,na wanatunza kwenye kila sherehe,
Hivi unafikiri mtu mwenye maisha yake anaweza kua interested kuanzisha uzi wa aina hii au kufuatilia life style za wanawake? jibu ni hapana.
Wenyewe wanasema kuvaa dela sio kazi, kazi ni kulishikilia😅Mi uwa najiuliza, kwanini kila mvaa kijora lazima akibane kwapani kisiburuzike, Si wavipunguze urefu?
Mke wa Bakhresa na Mo Dewji wanavaa nguo gani?Kuna uhusiano mkubwa kati ya jamii zinazovaa vazi la kijora na umasikini ambao unaweza kuushika kwa mkono.
Jamii hizi zinaendekeza sherehe (shughuli) kuliko shughuli za kujitafutia kipato. Ndani ya mwezi mtu anaweza kuhudhuria sherehe zaidi ya tano na kote inabidi atunze (zawadi).
Wanajisitiri lakini ni wanagawa urojo kirahisi sana.
Au kubana kwenye chupiMi uwa najiuliza, kwanini kila mvaa kijora lazima akibane kwapani kisiburuzike, Si wavipunguze urefu?
Ndio maana vijana wanahamasika sana kunjunjana, muda wote kupandishana nyege tu, ndio umkute hata chupi hajavaa ni mwendo wa matikiti kudondoka tu😅Ukute kabana kwapani na hajavaa braa nyonyo zinajimwaga mwaga tu hapo juu.....aseeee.
Raha ya kijora kukishikilia au kukichomeka hapa pembeni hapa kwenye kifuniko.