Uhusiano wa vazi la kijora na Umasikini

Uhusiano wa vazi la kijora na Umasikini

Naona wamegusa sehemu ulipo vipi shughuli ya kumtoa mwali hapo kwako ipo tarehe ngapi udugu wangu?🤣🤣🤣
Hahahaha Mimi sio mtu wa pwani 😆 sherehe yangu mavazi ni lace, suti na nguo za kitajiri 😆
 
Hilo vazi sasa hivi limeenea Tanzania nzima hasa mijini, wanawake wa mjini wanalipenda Kwani halina mambo mengi, wakivaa chupi zao na hiyo nguo tosha,
 
naona kaka wa hao mabinti wavaa vijora povu linawatoka sio poa,...😸😸😸😂😂
Ila usivikandie sana, maana ndo mboga zetu hizi kitaa japo vinakufa mapema sana lakini ni vingi pia,...
 
Kuna mmoja karibu anivunje mboo mamake,mtoto wa kimakonde anaifinya kwa ndani afu maku safiiii sikuamini.Hawa mungu akubariki popote ulipo.
Pili huyo kubandeki zake,lilikua lina sura ya babaake ka jambazi vile toto la kigoma upande congo.lina makuta huku nyuma km limesingiziwa.
E bana sijui watu walikua wanatuonaje,maana,mi niko smart lenyewe chafuchafu ila bana eeh nilinasa ka fala vile tunaongozana kila mahali.
 
Mimi hukaa barabarani nikisubiri kiwiliwili ndani ya gari kiuno akituachia masela,ni majaribu flani hivi ya mungu Kwa mtume Ayubu!!!
 
nafanya tafiti ya maendeleo ya uchumi ya jamii zinazovaa hili vazi, hovyo sana
Mkuu swala la kuvaa vijora Kwa Sasa Tz nzima wanavaa vijora labda ww huko unapo ishi.
Kuhusu umasikini mtu mwenye uwezo wa kuhudhuria sherehe tano Kwa mwezi na akaweza kutunza huyo sio masikini labda kama una tafsiri nyingine ya umasikini alafu kingine Tz yote inanuka umasikini bila kujali ni wapi.
Kuhusu wao kuwa Malaya Kwa Sasa % 95 ya wanawake wa Tz ni Malaya tena wale walio kubuhu sema tu wanatofautiana namna ya kufanya huo umalaya, hata huyo mke unaye ishi naye unaweza Kuta ni Malaya mzuri tu sema ww hujajua tu.
 
Ni kweli hata usipinge zingatia wana umasikini wakushikika kwa mikono tena miwili.

Yani umasikini wangu una unafuu
Masikini gani anaye hudhuria sherehe tano ndani ya mwezi alafu zote akatunza?
Hivi unajua maana ya umasikini ulio kithiri au unangea?
Hivi ilisha wahi kwenda Dodoma au singinda vijijini ukaona umasikini ulioko kule ?
 
naona kaka wa hao mabinti wavaa vijora povu linawatoka sio poa,...😸😸😸😂😂
Ila usivikandie sana, maana ndo mboga zetu hizi kitaa japo vinakufa mapema sana lakini ni vingi pia,...
Amewakandia bure tu Kwa sababu Kwa Sasa naona vijora vinavaliwa Tz nzima bila kujali uwezo wa mtu na lika zote ,na kuhusu wao kuwa Malaya Kwa Sasa %95 ya wanawake wa Tz ni Malaya sema wanatofautiana namna ya kufanya umalaya wao tu.
Pia kuhusu umasiki Tz nzima ni inanuka umasikini tu akina sehemu yenye kuangalau.
 
Masikini gani anaye hudhuria sherehe tano ndani ya mwezi alafu zote akatunza?
Swali zuri,
1. Wanakopa kausha dam na kwa marafiki yani kwa kifupi ni wanawake walio kwenye madeni yasio na msingi
Hivi unajua maana ya umasikini ulio kithiri au unangea?
Yes najua, ni kama huo uliosemwa hapa yani wanaishi kwenye vijumba vya hovyo, access ya huduma za msingi tu hawana wakiumwa wanapagawa hawana hata uwezo wa kupata million 2
Hivi ilisha wahi kwenda Dodoma au singinda vijijini ukaona umasikini ulioko kule ?
Sasa hapa ndo nimejua umasikini wewe huujui.
Dodoma yooote na Singida yooote nazijua nje ndani taja mahali ulikoenda ukauona huo umasikini nikutajie mpaka jina la mwenyekiti wa shina na watu ambao wana uwezo kwenye hicho kijiji kushinda ukoo wako wote.

Ungeitaja Tunduru, Lindi, Nachingwea, Ruangwa, Geita ningekubali
 
Swali zuri,
1. Wanakopa kausha dam na kwa marafiki yani kwa kifupi ni wanawake walio kwenye madeni yasio na msingi

Yes najua, ni kama huo uliosemwa hapa yani wanaishi kwenye vijumba vya hovyo, access ya huduma za msingi tu hawana wakiumwa wanapagawa hawana hata uwezo wa kupata million 2

Sasa hapa ndo nimejua umasikini wewe huujui.
Dodoma yooote na Singida yooote nazijua nje ndani taja mahali ulikoenda ukauona huo umasikini nikutajie mpaka jina la mwenyekiti wa shina na watu ambao wana uwezo kwenye hicho kijiji kushinda ukoo wako wote.

Ungeitaja Tunduru, Lindi, Nachingwea, Ruangwa, Geita ningekubali
Ww ni mental case
 
Ila ukiwaangalia kwa namna tofauti ni watu ambao huwa wanafuraha.....hawana komplikesheni kabisa.

Mtu anakua zake na hela ya unga robo, miguu ya kuku na kachumbali, siku imeisha.

Kodi hawazi anakaa nyumba ya wazazi na mme anaemuoa (kama yupo) nae anahamia nyumba hiyo hiyo. Kama hana mme anazaa watoto wa baba mbali mbali akiwa hapo kwao.

Anacheza mchezo wa buku mbilimbili ili apate hela za kijora na mkorogo. Alhamisi, ijumaa, jmosi, jpili ni kuhave fun Ngoma kwa kwenda mbele.....
Umeandika kila kitu na umemaliza.
Kongole kwa mchango wako.
 
Ni kweli hata usipinge zingatia wana umasikini wakushikika kwa mikono tena miwili.

Yani umasikini wangu una unafuu
mi bado nakataa mengine sipingi kapatia lakini hilo la umaskini halihusiani na kuvaa kijora bali ni nature ya familia husika na eneo unalotoka.Mbona wa huku tanga ni tofauti na unavyosema,watu wana uchumi wao mzuri tu wa kumudu milo 3 sema utelezi hunyimwi.
 
Mi uwa najiuliza, kwanini kila mvaa kijora lazima akibane kwapani kisiburuzike, Si wavipunguze urefu?
Ukikipunguza urefu, ukakifua… kesho utakikuta magotini 😹
Ndio sbb vinaachwa viburuze
 
mi bado nakataa mengine sipingi kapatia lakini hilo la umaskini halihusiani na kuvaa kijora bali ni nature ya familia husika na eneo unalotoka.Mbona wa huku tanga ni tofauti na unavyosema,watu wana uchumi wao mzuri tu wa kumudu milo 3 sema utelezi hunyimwi.
Umekuja kwenye point enhee mie nae natokea Tanga barabara ya 14

Enhee wapi hapo kwenye wavaa vijora kwenye hali nzuri ya maisha?
 
Sometimes ni ni vifungo au maagano ya roho chafu.
Tukijua asili ya hilo vazi lilikotoka au kuanzia,,
Nitasema kitu.
 
Back
Top Bottom