Uhusiano wa vazi la kijora na Umasikini

Uhusiano wa vazi la kijora na Umasikini

Ni sawa na kusema ugali ni chakula kinacholiwa zaidi uswahilini, kwenye kwaya masikini...Hizo nguo bei zake ni nafuu kiasi ambacho wanaopenda kuonekana wako vizuri hawapendi kuzivaa. So hata hao wenye hela zao wanaozivaa ni wachache sana...

Hilo la kugawa ovyo ni nyakati tulizonazo tu, wanawake wengi sasa hivi wanajirahisi sana...Kila watu wana kundi lao linalowala kirahisi.
 
"Ana Dera mpya, chupi ya zamani...", alisikika msanii mmoja.

Huu wimbo kuna watu hawapendi kabisa kusikia, sijui kwa nini, labda unagusa their shadow self.
 
Kuna uhusiano mkubwa kati ya jamii zinazovaa vazi la kijora na umsikini ambao unaweza kuushika kwa mkono.

Jamii hizi zinaendekeza sherehe (shughuli) kuliko shughuli za kujitafutia kipato. Ndani ya mwezi mtu anaweza kuhudhuria sherehe zaidi ya tano na kote inabidi atunze (zawadi).

Wanajisitiri lakini ni wanagawa urojo kirahisi sana.
View attachment 3693362
Gentleman,
Ikiwa kuna mTanzania anaweza kuhudhuria sherehe zaidi ya tano katika mwezi moja, huku akiwa na vazi jipya na anatoa zawadi ya maana katika kila sherehe, maana yake standard ya maisha yake ni nzuri kiuchumi na kijamii.

Na ndio maana wataalamu wa masuala ya kijamii, kisiasa na uchumi tunasema,

"Kua maskini au tajiri Tanzania ni uamuzi wako binafsi tu" 🐒
 
Umasikini ni kuuziwa Mafuta,chumvi,udongo na maji kisha unaaminishwa kua hivyo ndio vitakupa utajiri kimiujiza,

Ila Mwanaume kufuatilia mavazi ya wanawake inaleta wasiwasi fulani,huna kazi ya kufanya au wewe ndio wale walioleft grp?
 
mvaa kobaz
 
Maskini walikuja kumuomba mama yako , acheni ufala acha kila mtu avae ...Niliona yuko mgalati eti anaongelea vijora , nyie kaz kuvaa vinguo vya jero jero hapa Tangamano tena vya mtumba..Eti , umaskini kuna mtu alikuja kumuomba mama yako , mtu unaishi huko bara unafuatilia ya wengine kama sio ushoga ni nn?
 
Ila ukiwaangalia kwa namna tofauti ni watu ambao huwa wanafuraha.....hawana komplikesheni kabisa.

Mtu anakua zake na hela ya unga robo, miguu ya kuku na kachumbali, siku imeisha.

Kodi hawazi anakaa nyumba ya wazazi na mme anaemuoa (kama yupo) nae anahamia nyumba hiyo hiyo. Kama hana mme anazaa watoto wa baba mbali mbali akiwa hapo kwao.

Anacheza mchezo wa buku mbilimbili ili apate hela za kijora na mkorogo. Alhamisi, ijumaa, jmosi, jpili ni kuhave fun Ngoma kwa kwenda mbele.....
Wanakuwaga na shoti sana, hawa tunabonyeza sana huku mtaani, ukiwa na 20k unapiga mpaka asubuhi. Na hapo simu haziishi baada siku 3 anakupigia tena, hapo ujue ana shoti.

Na wako vizuri balaa wala huwezi kuamini, kuishi uswahilini Raha sana😃
 
Kuna uhusiano mkubwa kati ya jamii zinazovaa vazi la kijora na umsikini ambao unaweza kuushika kwa mkono.

Jamii hizi zinaendekeza sherehe (shughuli) kuliko shughuli za kujitafutia kipato. Ndani ya mwezi mtu anaweza kuhudhuria sherehe zaidi ya tano na kote inabidi atunze (zawadi).

Wanajisitiri lakini ni wanagawa urojo kirahisi sana.
View attachment 3693362
Watu mana wivu Sana, yaani Sisi maskini kununua kijora Tu inakuwa nongwa, mbona nyie matajiri mnatumia mamilion kula bata na kulala mahoteli ya gharama na hatuwafatilii?

Unajua nyie matajiri kama sio Mungu mngetuteketeza kbisa kwenye uso wa dunia.

Maskini akinywanhata boa Nne Tu za elfu 15 anaitwa hajielewi anaharibu maisha.

Nyie unatumia hata 1M kwa siku.
Mnapenda kutuona Sisi tukiteseka ndio furaha yenu ili mjisikie vizuri
 
Maskini walikuja kumuomba mama yako , acheni ufala acha kila mtu avae ...Niliona yuko mgalati eti anaongelea vijora , nyie kaz kuvaa vinguo vya jero jero hapa Tangamano tena vya mtumba..Eti , umaskini kuna mtu alikuja kumuomba mama yako , mtu unaishi huko bara unafuatilia ya wengine kama sio ushoga ni nn?
Hili jamaa itakua Papai,
Linasema wanaenda kwenye sherehe 5 kwa mwezi na wanatunza kwenye sherehe zote hizo,kisha anasema ni masikini!
Hivi masikini anaweza kuyafanya hayo?
Yeye angekua busy kujitafutia hicho kipato,wala asingepata muda wa kuchunguza Wanawake wanavaa nini,
Utakuta hapo yupo sebuleni kwenye sofa la mume wa Dada yake anasubiri ugali wa shikamoo.
 
Back
Top Bottom