comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
Mh Zitto akichambua taarifa ya CAG ameishukia wizara ya ujenzi, waziri wake, na wakala wa barabara kwa kudai kuwa walitengewa Trilioni 2 kwa ajili ya ujenzi wa barabara 88 na hakuna hata moja imejengwa hadi kipindi cha fedha tajwa kinaisha. Ukimsikia utaona anahoja lakini ukisikiliza unaona anapotosha. Mh. Zitto zaidi yayale aliyoyatoa kwenye ripoti ya CAG hajatueleza kama:
- Pesa zilizotengwa kweli zilipelekwa wizarani na baadaye kwa wakala wa barabara;
- hajatueleza kama mchakato wa utekezaji wa mpango kazi wa wakala wa barabara 88 hadi hii leo uliishi ile zabuni mpja iliyopokelewa au uliendelea. Ki msingi nini ni uhalisia sasa hivi?