Uhusiano wa Zitto na upotoshaji ni kama wa damu na nyama

Uhusiano wa Zitto na upotoshaji ni kama wa damu na nyama

Hayo wanatakiwa kujibu ni WIZARA husikasio wewe
Tunayo au ninayohaki si ya kupata tu taarifa bali taarifa sahihi ndiyo maana mtoa taarifa anatakiwa aje na maelezo anachohoji ni nini?
 
Mh Zitto akichambua taarifa ya CAG ameishukia wizara ya ujenzi, waziri wake, na wakala wa barabara kwa kudai kuwa walitengewa Trilioni 2 kwa ajili ya ujenzi wa barabara 88 na hakuna hata moja imejengwa hadi kipindi cha fedha tajwa kinaisha. Ukimsikia utaona anahoja lakini ukisikiliza unaona anapotosha. Mh. Zitto zaidi yayale aliyoyatoa kwenye ripoti ya CAG hajatueleza kama:
  1. Pesa zilizotengwa kweli zilipelekwa wizarani na baadaye kwa wakala wa barabara;
  2. hajatueleza kama mchakato wa utekezaji wa mpango kazi wa wakala wa barabara 88 hadi hii leo uliishi ile zabuni mpja iliyopokelewa au uliendelea. Ki msingi nini ni uhalisia sasa hivi?
Kama Zitto hana majibu hayo atabaki kuwa mpotoshaji tu mpenda sifa
yule mbona kama msukule
 
Back
Top Bottom