Uhusiano wangu kimapenzi na "Hamida"

father upo juu kama mawingu
 
Du! Kama ulianza kutumia Thuraya hata kabla ya mobile phones kuingia nchini, ntashangaa sana kama hukuwa mtu wa kitengo. 🙂
Chief Thuraya hata mzee wangu aliitumia na ni hakua mfanyakazi serikalini alikua mfanyabiashara tu, kabla ya ujio wa GSM ile ya Tritel. Sidhani kama ilikua lazima awe mtu wa kitengo. Ni mawazo yangu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante mkuu
 
Satellite phone? Nyakati hizo hata kuzisikia ilikuwa vigumu sembuse kuziona madukani? Hata sasa si wengi wanazifahamu. Mzee wako alikuwa up to date sana .
 
Satellite phone? Nyakati hizo hata kuzisikia ilikuwa vigumu sembuse kuziona madukani? Hata sasa si wengi wanazifahamu. Mzee wako alikuwa up to date sana .
Yeah! Ni kweli Chief, hata sisi tulikua tunamshangaa sana. Kwa vijana wa sasa hata rika langu ni wachache sana wanazifahamu. Siku nikienda hm, nitaipiga picha niweke humu pamoja na Siemens yenye line ya tritel ndani yake aliyotumia marehemu baba. Bi mkubwa kazitunza vzr.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee wako pamoja na kwamba alikuwa mfanyabiashara inawezekana kabisa alikuwa kitengo pia
Chief Thuraya hata mzee wangu aliitumia na ni hakua mfanyakazi serikalini alikua mfanyabiashara tu, kabla ya ujio wa GSM ile ya Tritel. Sidhani kama ilikua lazima awe mtu wa kitengo. Ni mawazo yangu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee wako pamoja na kwamba alikuwa mfanyabiashara inawezekana kabisa alikuwa kitengo pia

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana, pamoja na kwamba alitangulia mbele za haki lakini naamini hakuwa huko. Tungepata hata msaada wa balozi wa nyumba 10 kwenye msiba wake, hata walau kusafirishia mwili kijijini kungekuwa na mchango wa serikali kwa namna yoyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani ratiba yang JF imebadilika sana; kila nikilog in kituo Cha Kwanza ni kwenye huu Uzi "HAMIDA", then kula tunda kimasihara afu namalizia kwenye Uzi wa Sports "betting" then nalog out. Sku ndo imeisha ivo. KONGOLE kwako mkuu, Umenikamata [emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani ratiba yako mkuu kama yangu..[emoji847]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…