hapana mwanamke ana vagina na urethiraHivi mkuu.. mwanamke anapokojolea haja ndogo ndio hapo hapo kunapita uume?
Upo sahihi. Muuliza awali nimemtumia picha yenye vielelezohapana mwanamke ana vagina na urethira
urethira ndio tundu la mkojo lipo juu kidogo ya vagina
samahani nimejibu swali ambalo sikuulizwa mimi
Sent using Jamii Forums mobile app
Je mwajua kwamba pia kuna matundu mengine madogo madogo kwenye papuchi ukiachia panapotokea mkojo na mtoto?
James Jason
Muntu sika muza uyu[emoji124]Neneauuu, wamugona mung'ina wa antu halafu uleke kumutola hahahaahaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Actually pamoja na usisimuaji wa simulizi yenyewe lakini pia na:-Mpaka huu Uzi uishe 50% ya wasomaji watakuwa wamesilimu. Mana Kuna tactics za hali ya juu kufundisha basics za uislamu. Good approach. Mpaka Sasa nimeshajua kwamba ukilitaja jina la mtume Mohamad unapaswa kumalizia na na maneno "Amani na neema za Allah ziwe kwake"
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakumbuka ulivyopiga show nzuri? Ulipiga touch za hapa na pale, ukapima oil ukaona ameloana chapachapaSijawahi kufahamu hiyo, kazi yake ni nini hivyo vitundu?
Naomba utuhabarishe baba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha, Nikitaka kusema umetisha nasemaje?
James Jason
umeshaanza kutuharibia story kiande ww au hujui kusoma mbwa wewe?Ulkuwa na 25 wakat Ruth ana 18, na umesema Ruth alizaliwa wakat unamalizia darasa la nane. Babu ulimaliza darasa la nane na miaka 7?
Haina shida mzee lakini mwenyewe inabidi ajiongeze kuwa sometime kunakuwa na typing errorAlikuwa yupo sahihi, nimerekebisha, nilichanganya na mdogo wake
James Jason
Sorry bro πππumeshaanza kutuharibia story kiande ww au hujui kusoma mbwa wewe?
Hatuwataki
Nmecheck soft copy ya hicho cha pili nimekosaAsante nitavitafuta kwa namna yoyote,maana sina uhakika kama nitapata soft copy
Sent using Jamii Forums mobile app
We nae punguza mihemkoumeshaanza kutuharibia story kiande ww au hujui kusoma mbwa wewe?
Hatuwataki
Mkuu vya kiswahili hamna? Wengine huku la 7 ujue!!Vijana jitahidini msome vitabu hivi vitatu, mtajifunza mengi:-
1. "The Perfumed Garden" - Umar ibn Muhammad Nefzawi - 15th Century
2. "French Sex Art Manners" - Georges Valensin - 1970
3. "Kama Sutra' - Vatsyayan Richard Francis Burton
James Jason
Hapo ndio shida sasa,hasa kupata hard copyNmecheck soft copy ya hicho cha pili nimekosa
Kulikua kuna ulazima wa kutoa maneno makali kiasi hiki.? Au ww ndio unekwazika pekee ako..afu kwanini ukwazwe na kitu kidogo kama hikoumeshaanza kutuharibia story kiande ww au hujui kusoma mbwa wewe?
Hatuwataki
haya Wewe imekuuma nini ikiwa sio wewe?Kulikua kuna ulazima wa kutoa maneno makali kiasi hiki.? Au ww ndio unekwazika pekee ako..afu kwanini ukwazwe na kitu kidogo kama hiko
nitangulize Samahani brazaSorry bro πππ