Uhusiano wangu kimapenzi na "Hamida"

Uhusiano wangu kimapenzi na "Hamida"

Mpaka huu Uzi uishe 50% ya wasomaji watakuwa wamesilimu. Mana Kuna tactics za hali ya juu kufundisha basics za uislamu. Good approach. Mpaka Sasa nimeshajua kwamba ukilitaja jina la mtume Mohamad unapaswa kumalizia na na maneno "Amani na neema za Allah ziwe kwake"

Sent using Jamii Forums mobile app
Actually pamoja na usisimuaji wa simulizi yenyewe lakini pia na:-

1. Kuleta misamiati ya kiswahili sanifu na cha zamani

2. Kuwajulisha vijana kuwa hata wazee walikuwa vijana hivyo wanajuwa kuliko wanavyowa-underestimate

3. Kuwakubusha wazee wenzangu na kuwaonesha vijana baadhi ya vifaa ama bidhaa na vitu vya zamani

4. Kuwakumbusha vijana kuwa dini zipo nyingi lakini pia kuna mila na desturi, tofauti ya imani za kidini zisitufanye kubaguana ama kunyanyapaana

5. Kuelimisha juu ya ubaya wa ubaguzi wa rangi na faida ya kuchangaya nasaba

6. Kutoa elimu ya namna bora ya kufanya mapenzi

7. Kuonesha umuhimu wa kusoma, kusoma vitabu na kujisomea

8. Kufundisha ama kuonesha namna bora ya kusimama na unachokiamini bila kukata tamaa au kutatishwa tamaa

Na mambo mengine kadha wa kadha.

James Jason
 
Sijawahi kufahamu hiyo, kazi yake ni nini hivyo vitundu?
Naomba utuhabarishe baba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unakumbuka ulivyopiga show nzuri? Ulipiga touch za hapa na pale, ukapima oil ukaona ameloana chapachapa

Jiulize huo mloano unatokea wapi? Njia ya mkojo? Hapana, je kwenye K kama siku za hedhi? Hapana.

Ni kwenye hayo matundu mengine...

Kuna matezi madogo mawili upande wa kulia na kushoto mwa papuchi kwa ndani kidogo, ndio hutoa ule utelezi...

Pia kwenye mlango wa kizazi (ama kizazi kama wanavyoita wanawake wengi) kunatoa utelezi wa aina yake...

Telezi hizi ni kila siku lakini kwa kubadilika badilika.

Niishie hapa maana inahitaji uzi wake kabisa, ni somo pana.

James Jason
 
Vijana jitahidini msome vitabu hivi vitatu, mtajifunza mengi:-

1. "The Perfumed Garden" - Umar ibn Muhammad Nefzawi - 15th Century

2. "French Sex Art Manners" - Georges Valensin - 1970

3. "Kama Sutra' - Vatsyayan Richard Francis Burton

James Jason
Mkuu vya kiswahili hamna? Wengine huku la 7 ujue!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom