1. Wakwe walishatangulia mbele za haki. (Wazazi wa Ruth pia)I wish nijue kama mama hamida na mzes burhan kama wapo hai bado...mana kama kwa sasa wewe una miaka 60 manake hao wakwe zako watakuwa wamekula chumvi sana kama bado wahai...!
All in all, nimeipenda hadithi hii fupi kuhusu maisha yako ya kimahusiano, nimependa zaidi ulipoanza kusimulia kuhusu kufika kwako Zanzibar (Unguja) ambako ni home, na kugusia baadhi ya vitu vya kiutamaduni hasa vyakula. Ingawa hujatwambia kama uliwahi kurudi tena zenji, hasa baada ya kufutwa utaratibu wa kuja znz kwa passport[emoji28]
Heshima yako mkuu....naomba kwa niaba ya wana jf wenzangu hata leo ikiwezekana utuletee hapa1. Wakwe walishatangulia mbele za haki. (Wazazi wa Ruth pia)
2.Unguja nimeshaenda tena na tena hadi Pemba nimefika, tena hadi Konde.
3. Similizi iliishia miaka ya 1980 huko. (84-85). Hivyo kuna maisha yaliendelea baada yake. Napo kuna simulizi za kusisimua, tatizo muda tu wa kuandika na MODs kuvunja moyo wasimuliaji...
4. Kwa atakayesoma post hii napenda ajue kuwa kumbe kweli Rose alishika ujauzito, na ana binti yangu ambaye nimeshawasiliana naye, wanaishi Botswana. Natafakari sijui nilete uzi wa "Hatimaye Rose aniPM JF"?
Mkuu mimi ni Shabiki wako sana.1. Wakwe walishatangulia mbele za haki. (Wazazi wa Ruth pia)
2.Unguja nimeshaenda tena na tena hadi Pemba nimefika, tena hadi Konde.
3. Similizi iliishia miaka ya 1980 huko. (84-85). Hivyo kuna maisha yaliendelea baada yake. Napo kuna simulizi za kusisimua, tatizo muda tu wa kuandika na MODs kuvunja moyo wasimuliaji...
4. Kwa atakayesoma post hii napenda ajue kuwa kumbe kweli Rose alishika ujauzito, na ana binti yangu ambaye nimeshawasiliana naye, wanaishi Botswana. Natafakari sijui nilete uzi wa "Hatimaye Rose aniPM JF"?
Inna lillah wainna ilaih rajiuun pole kwa kuondokewa na vizaa vyema wako na mola awape kauli thabiti1. Wakwe walishatangulia mbele za haki. (Wazazi wa Ruth pia)
2.Unguja nimeshaenda tena na tena hadi Pemba nimefika, tena hadi Konde.
3. Similizi iliishia miaka ya 1980 huko. (84-85). Hivyo kuna maisha yaliendelea baada yake. Napo kuna simulizi za kusisimua, tatizo muda tu wa kuandika na MODs kuvunja moyo wasimuliaji...
4. Kwa atakayesoma post hii napenda ajue kuwa kumbe kweli Rose alishika ujauzito, na ana binti yangu ambaye nimeshawasiliana naye, wanaishi Botswana. Natafakari sijui nilete uzi wa "Hatimaye Rose aniPM JF"?
Heri na kwako Comrade.Inna lillah wainna ilaih rajiuun pole kwa kuondokewa na vizaa vyema wako na mola awape kauli thabiti
Simulizi yako ina sifa zoote na raha inayotakiwa ziwe na nakuomba usiache kushusha hiyo simulizi kwetu ili tupate faida na tunawaomba MODS waache kauzibe kwenu wasimuliaji
Hiyo ya Rose ni kiboko kwani inakamilisha ile methali ya milima haikutani ila binaadamu hukutana,iwekee uzi wa pekee ikitanguliwa na dibaji yake kwa watakaosoma ambao hawakuisoma hii ya Hamida
Heri ya mwaka mpya comrade
tutendee haki mzee, andika hivyo hivyo tupate mawili matatu....1. Wakwe walishatangulia mbele za haki. (Wazazi wa Ruth pia)
2.Unguja nimeshaenda tena na tena hadi Pemba nimefika, tena hadi Konde.
3. Similizi iliishia miaka ya 1980 huko. (84-85). Hivyo kuna maisha yaliendelea baada yake. Napo kuna simulizi za kusisimua, tatizo muda tu wa kuandika na MODs kuvunja moyo wasimuliaji...
4. Kwa atakayesoma post hii napenda ajue kuwa kumbe kweli Rose alishika ujauzito, na ana binti yangu ambaye nimeshawasiliana naye, wanaishi Botswana. Natafakari sijui nilete uzi wa "Hatimaye Rose aniPM JF"?
Mkuu ni muda sana hujatupa simulizi zako murua. Tafuta muda tujue kuhusu rose na mwanao na kama alikupata baada ya kuleta simulizi jf.1. Wakwe walishatangulia mbele za haki. (Wazazi wa Ruth pia)
2.Unguja nimeshaenda tena na tena hadi Pemba nimefika, tena hadi Konde.
3. Similizi iliishia miaka ya 1980 huko. (84-85). Hivyo kuna maisha yaliendelea baada yake. Napo kuna simulizi za kusisimua, tatizo muda tu wa kuandika na MODs kuvunja moyo wasimuliaji...
4. Kwa atakayesoma post hii napenda ajue kuwa kumbe kweli Rose alishika ujauzito, na ana binti yangu ambaye nimeshawasiliana naye, wanaishi Botswana. Natafakari sijui nilete uzi wa "Hatimaye Rose aniPM JF"?
Mambo mengi yamenisibu hapa katikati, naponya vidonda, nipo salama na mzima wa afya Tanzania hii hii.Mkuu ni muda sana hujatupa simulizi zako murua. Tafuta muda tujue kuhusu rose na mwanao na kama alikupata baada ya kuleta simulizi jf.
Asante
Pole sana muheshimiwa sana.Mambo mengi yamenisibu hapa katikati, naponya vidonda, nipo salama na mzima wa afya Tanzania hii hii.
#Kazi itaendelea.
Pole na hongera pia mzee wetu, shukran za dhati zimuendee aliye juu...karibu tena mzeeMambo mengi yamenisibu hapa katikati, naponya vidonda, nipo salama na mzima wa afya Tanzania hii hii.
#Kazi itaendelea.
Kilinge kimepoa hiki mzee, endeleza gurudumu wanao tupate mawili matatu!Kama umependa simulizi zangu, mshirikishe rafiki yako ambaye unajuwa atapenda na kujifunza vitu.