Uhusiano wangu kimapenzi na "Hamida"

Uhusiano wangu kimapenzi na "Hamida"

I wish nijue kama mama hamida na mzes burhan kama wapo hai bado...mana kama kwa sasa wewe una miaka 60 manake hao wakwe zako watakuwa wamekula chumvi sana kama bado wahai...!

All in all, nimeipenda hadithi hii fupi kuhusu maisha yako ya kimahusiano, nimependa zaidi ulipoanza kusimulia kuhusu kufika kwako Zanzibar (Unguja) ambako ni home, na kugusia baadhi ya vitu vya kiutamaduni hasa vyakula. Ingawa hujatwambia kama uliwahi kurudi tena zenji, hasa baada ya kufutwa utaratibu wa kuja znz kwa passport😅
 
I wish nijue kama mama hamida na mzes burhan kama wapo hai bado...mana kama kwa sasa wewe una miaka 60 manake hao wakwe zako watakuwa wamekula chumvi sana kama bado wahai...!

All in all, nimeipenda hadithi hii fupi kuhusu maisha yako ya kimahusiano, nimependa zaidi ulipoanza kusimulia kuhusu kufika kwako Zanzibar (Unguja) ambako ni home, na kugusia baadhi ya vitu vya kiutamaduni hasa vyakula. Ingawa hujatwambia kama uliwahi kurudi tena zenji, hasa baada ya kufutwa utaratibu wa kuja znz kwa passport[emoji28]
1. Wakwe walishatangulia mbele za haki. (Wazazi wa Ruth pia)

2.Unguja nimeshaenda tena na tena hadi Pemba nimefika, tena hadi Konde.

3. Simulizi iliishia miaka ya 1980 huko. (84-85). Hivyo kuna maisha yaliendelea baada yake. Napo kuna simulizi za kusisimua, tatizo muda tu wa kuandika na MODs kuvunja moyo wasimuliaji...

4. Kwa atakayesoma post hii napenda ajue kuwa kumbe kweli Rose alishika ujauzito, na ana binti yangu ambaye nimeshawasiliana naye, wanaishi Botswana. Natafakari sijui nilete uzi wa "Hatimaye Rose aniPM JF"?
 
1. Wakwe walishatangulia mbele za haki. (Wazazi wa Ruth pia)

2.Unguja nimeshaenda tena na tena hadi Pemba nimefika, tena hadi Konde.

3. Similizi iliishia miaka ya 1980 huko. (84-85). Hivyo kuna maisha yaliendelea baada yake. Napo kuna simulizi za kusisimua, tatizo muda tu wa kuandika na MODs kuvunja moyo wasimuliaji...

Heshima yako mkuu....naomba kwa niaba ya wana jf wenzangu hata leo ikiwezekana utuletee hapa
 
1. Wakwe walishatangulia mbele za haki. (Wazazi wa Ruth pia)

2.Unguja nimeshaenda tena na tena hadi Pemba nimefika, tena hadi Konde.

3. Similizi iliishia miaka ya 1980 huko. (84-85). Hivyo kuna maisha yaliendelea baada yake. Napo kuna simulizi za kusisimua, tatizo muda tu wa kuandika na MODs kuvunja moyo wasimuliaji...

4. Kwa atakayesoma post hii napenda ajue kuwa kumbe kweli Rose alishika ujauzito, na ana binti yangu ambaye nimeshawasiliana naye, wanaishi Botswana. Natafakari sijui nilete uzi wa "Hatimaye Rose aniPM JF"?
Mkuu mimi ni Shabiki wako sana.

Hiyo story ya kuanzia miaka ya 80 natamani kuisoma.

Naomba upandishe uzi kwa lugha ya kifasihi mods hawatougusa.

Kuhusu uzi wa Rose naomba pandisha uzi wake separate [emoji120]
 
1. Wakwe walishatangulia mbele za haki. (Wazazi wa Ruth pia)

2.Unguja nimeshaenda tena na tena hadi Pemba nimefika, tena hadi Konde.

3. Similizi iliishia miaka ya 1980 huko. (84-85). Hivyo kuna maisha yaliendelea baada yake. Napo kuna simulizi za kusisimua, tatizo muda tu wa kuandika na MODs kuvunja moyo wasimuliaji...

4. Kwa atakayesoma post hii napenda ajue kuwa kumbe kweli Rose alishika ujauzito, na ana binti yangu ambaye nimeshawasiliana naye, wanaishi Botswana. Natafakari sijui nilete uzi wa "Hatimaye Rose aniPM JF"?
Inna lillah wainna ilaih rajiuun pole kwa kuondokewa na vizaa vyema wako na mola awape kauli thabiti

Simulizi yako ina sifa zoote na raha inayotakiwa ziwe na nakuomba usiache kushusha hiyo simulizi kwetu ili tupate faida na tunawaomba MODS waache kauzibe kwenu wasimuliaji

Hiyo ya Rose ni kiboko kwani inakamilisha ile methali ya milima haikutani ila binaadamu hukutana,iwekee uzi wa pekee ikitanguliwa na dibaji yake kwa watakaosoma ambao hawakuisoma hii ya Hamida

Heri ya mwaka mpya comrade
 
Heri na kwako Comrade.

Rose na binti yangu sijaonana nao bado.

Rose yupo humu JF

Nikitulia nitaelezea japo kwa uchache yaliyojiri baada ya kupoteana na Rose.
 
1. Wakwe walishatangulia mbele za haki. (Wazazi wa Ruth pia)

2.Unguja nimeshaenda tena na tena hadi Pemba nimefika, tena hadi Konde.

3. Similizi iliishia miaka ya 1980 huko. (84-85). Hivyo kuna maisha yaliendelea baada yake. Napo kuna simulizi za kusisimua, tatizo muda tu wa kuandika na MODs kuvunja moyo wasimuliaji...

4. Kwa atakayesoma post hii napenda ajue kuwa kumbe kweli Rose alishika ujauzito, na ana binti yangu ambaye nimeshawasiliana naye, wanaishi Botswana. Natafakari sijui nilete uzi wa "Hatimaye Rose aniPM JF"?
tutendee haki mzee, andika hivyo hivyo tupate mawili matatu....
 
1. Wakwe walishatangulia mbele za haki. (Wazazi wa Ruth pia)

2.Unguja nimeshaenda tena na tena hadi Pemba nimefika, tena hadi Konde.

3. Similizi iliishia miaka ya 1980 huko. (84-85). Hivyo kuna maisha yaliendelea baada yake. Napo kuna simulizi za kusisimua, tatizo muda tu wa kuandika na MODs kuvunja moyo wasimuliaji...

4. Kwa atakayesoma post hii napenda ajue kuwa kumbe kweli Rose alishika ujauzito, na ana binti yangu ambaye nimeshawasiliana naye, wanaishi Botswana. Natafakari sijui nilete uzi wa "Hatimaye Rose aniPM JF"?
Mkuu ni muda sana hujatupa simulizi zako murua. Tafuta muda tujue kuhusu rose na mwanao na kama alikupata baada ya kuleta simulizi jf.
Asante
 
Back
Top Bottom