talentboy
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 2,104
- 2,073
I wish nijue kama mama hamida na mzes burhan kama wapo hai bado...mana kama kwa sasa wewe una miaka 60 manake hao wakwe zako watakuwa wamekula chumvi sana kama bado wahai...!
All in all, nimeipenda hadithi hii fupi kuhusu maisha yako ya kimahusiano, nimependa zaidi ulipoanza kusimulia kuhusu kufika kwako Zanzibar (Unguja) ambako ni home, na kugusia baadhi ya vitu vya kiutamaduni hasa vyakula. Ingawa hujatwambia kama uliwahi kurudi tena zenji, hasa baada ya kufutwa utaratibu wa kuja znz kwa passport😅