Uhusiano wangu kimapenzi na "Hamida"

Natamani ni LIKE mara ya pili...

Lakini hakuna option hiyo hahahaha [emoji23]

Sent from my Infinix X690B using JamiiForums mobile app
 
Nimeshavipata hivi bado kuvisoma tu.
 
Sehemu ya 16 imebeba hisia kali sana.
 
Mzee Ubarikiwe kwa Uzi huu, Una Kila aina ya Mafunzo, Burudani na Kuchekesha pia. Hakika Hii Ninkazi Safi ya Fasihi. Nimeusoma Huu Uzi Mwaka Huu, sikua nautilia maanani siku za Nyuma, Nilikosea sana na kujinyima mengi.
 
Wajulishe na wengine waje wafurahie, wajifunze na kuburudika pia.

Sent from my Infinix X690B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Tayukwa wee hii ushaisoma???? Ngoja niisome nasikia watu wanaizingumzia sana!
 
Wali mbaazi lol!
Umenikumbusha nyumbani jamaniiiii!!!😌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…