Uhusiano wangu kimapenzi na "Hamida"



Kuna una muda punguza stress kwa kufuatulia simulizi hii.
 
lete madude mapya
Sijapata utulivu.

Sipendi watu wawe wanasubiri nikianza kuandika.

Angalau kila siku au kila baada ya siku moja episode mpya niweke.

Hivyo tuendelee kufurahia simulizi za wengine.

Pia nimehuzunika kwa kumpoteza leadermoe

Hakika sisi sote ni wa Mwenyezi Mungu na kwa hakika kwake tutarejezwa.
 
Kwa kweli leadermoe katu huzunisha sana yeye ndie alikuwa anitumia link za simulizi zako aliniambia Kuna mtu naimani utampenda maandiko yake akanitumia kweli nilifurahia.
 
Mkuu nimemaliza story yote msalimie Hamida kuna sehem umenigusa sana ulipotaja Iguguno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…