feisal firdaus
JF-Expert Member
- Apr 6, 2022
- 424
- 675
Imeishia hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulizia humu labda kuna wadau waliwahi kukipata.Vitab hivi havipo naonaView attachment 2546194
Numerudia kusoma hii comment nimecheka sana hahahahaahStory yako inatibu Magonjwa mbalimbali, inaongeza hamu ya Kula, nguvu za kiume, inafanya uhisi mfukoni Una laki hata kama umebakiwa na jero.. kimsingi inaweza kurudisha Amani East Congo
lete madude mapyaNumerudia kusoma hii comment nimecheka sana hahahahaah
Sijapata utulivu.lete madude mapya
Kwa kweli leadermoe katu huzunisha sana yeye ndie alikuwa anitumia link za simulizi zako aliniambia Kuna mtu naimani utampenda maandiko yake akanitumia kweli nilifurahia.Sijapata utulivu.
Sipendi watu wawe wanasubiri nikianza kuandika.
Angalau kila siku au kila baada ya siku moja episode mpya niweke.
Hivyo tuendelee kufurahia simulizi za wengine.
Pia nimehuzunika kwa kumpoteza leadermoe
Hakika sisi sote ni wa Mwenyezi Mungu na kwa hakika kwake tutarejezwa.
Inawezekana kabisa stori hii mtu akaitumia kujipima hisia nyegevu, hususani wale ambao wametoka katika tiba ya nguvu za kike ama kiume.Hii stori nasoma huku nimedisa dadeki[emoji3526][emoji1]
ila we mzee nouma sana..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo nacho anza kufanya now...Ngoja nitatulia nipge hii riwaya kama kikombe cha maji ya kunywa.
Twende kazi me pia ndio nainza .Ndo nacho anza kufanya now...
Nlitaka niangalie kwanza kama imeisha