Uhusiano wangu kimapenzi na "Hamida"

Uhusiano wangu kimapenzi na "Hamida"

Unakumbuka ulivyopiga show nzuri? Ulipiga touch za hapa na pale, ukapima oil ukaona ameloana chapachapa

Jiulize huo mloano unatokea wapi? Njia ya mkojo? Hapana, je kwenye K kama siku za hedhi? Hapana.

Ni kwenye hayo matundu mengine...

Kuna matezi madogo mawili upande wa kulia na kushoto mwa papuchi kwa ndani kidogo, ndio hutoa ule utelezi...

Pia kwenye mlango wa kizazi (ama kizazi kama wanavyoita wanawake wengi) kunatoa utelezi wa aina yake...

Telezi hizi ni kila siku lakini kwa kubadilika badilika.

Niishie hapa maana inahitaji uzi wake kabisa, ni somo pana.

James Jason
hivi na yale maji (squirting) yanatoka wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye mfumo wa kutoa uchafu kwa njia ya majimaji kwenye mwili

Ingawaje maji haya yanapitia kwenye njia ya mkojo, lakini 99% si mkojo, hayana UREA ama Nitric Acid, hayana utelezi kama ute ule wa kuloanisha uke wakati wa maandalizi

Zingatia pia kuwa, ku-squirt na kufika orgasms ni vitu viwili tofauti ingawaje vyaweza kutokea kwa pamoja (sanjali)

Vile vile viwango wa maji hutofautiana kati ya mwanamke na mwanamke, na siyo wanawake wote wenye uwezo wa kuyatoa na sababu zipo nyingi lakini wanawake wote wakifanyiwa inavyopasa LAZIMA yatatoka...

Somo lingine hili lahitaji uzi wake

James Jason
 
Leo ni ile j2....

Basi ikiisha hiii usisite kufungua Uzi wake.

Kwa heshima kabisa fikiria namna ya kutuletea hili somo,utabidi uwe mwalimu tu hapa,hakuna namna,(ukipata muda)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kati ya g,a na c/u spot ipi inamletea mwanamke mzuka zaidi ili afike orgasm ama a squirt?
Na pia kipi kinampa mwanamke raha zaidi kati ya orgasm ya kawaida na squirt?
Natanguliza shukrani kwa darasa la bure.
 
Hii stori inavutia na sana kusisimua mno,

Nilichogundua kwenye hii stori, ukiwa na ela na umesoma unapata nafasi kubwa sana kujifunza na kufanya mengi sana kwenye hii dunia,
Pamoja na mbinu nzuri kadhaa alizotumia ndugu James Jason kitu kikubwa kilichom'beba (pamoja kua na akili nyingi) ni uwezo wake wa kifedha, elimu pamoja na kazi nzuri.

Yeye kajifunzia mambo ya mahusiano na mengineyo ya kimapenzi kupitia vitabu, wengine hata hatujui unaanza vipi kumla demu unafika nae geto hata hujui umfanye nini, wengi tumejifunzia mapenzi vijiweni au kuangalia picha na muvi za ngono kwa waliobahatika kipindi hicho.
Nimewaza tu hapa ndio Hamida kaja gheto kwangu akute tv ipo juu ya ndoo joto la kufa mtu sidhani kama atarudi tena siku nyingine.

Hongera sana mkuu James uliyafaidi sana maisha ya ujanani adi sasa uzeeni, ningekua nimesoma na ela nnazo aisee ningeumia sana kwa huu uzi wako.

Mabaharia tutafute ela kwa bidii nasi tuje pata cha kusimulia uzeeni mwetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mkweli sana na kweli huna kisomo kama ulivyojieleza. Wewe 'ela' tafuta mwenyewe sisi tunafuta HELA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom