Uhusiano wangu na mwanamke wangu kipenzi umeingia doa, muda wowote nitakipoteza nilichokipenda kwa moyo wote

Pole Sana mshikaji. jawabu la upole hugeuza hasira;bali neno liumizalo huchochea ghadhabu.mithali 15:1.
Mioyo yetu ya ajabu sana.hata huyo anaekejeli kwa kusema jibu unalo unakosa tu maamuzi,si kwamba hajui, anajua Sana tabia mbovu ya mioyo yetu. Moyo wapenda pahala penye haupendwi/pahala penye dhoruba;na moyo uo huo wakimbia pahala penye unapendwa/pahala penye amani na utulivu. Lakini kwenye hili jambo lako,kaka unahitaji hekima ya MUNGU. Kama huwezi kumwacha sababu unampenda, tumia hiyo fulsa kumuonyesha na kumhakikishia kuwa,hakuna mwanaume kwenye huu ulimwengu mwenye moyo wa dhahabu kama wako. Kwanza muite,mfanyie surprise yeyote ile ambayo itamfurahisha, Kisha mwambie, umemsamehe na pia, makosa yalikuwa yako kumruhusu awepo kwenye mazingira yaliyompelekea kuingia kwenye vishawishi kama kile, Kisha muombe MUNGU ambadilishe tabia kama hizo. Ngoja nikwambie kitu apa. Wanawake ni dhaifu, kama ni dhaifu; basi tunapaswa kuwaongoza kama chombo kisichokuwa na nguvu.adamu alishiriki ile dhambi ya mkewe hawa, si kwa sababu hakujua kama wanatenda dhambi ya kutokutii, alijua, lakini ni vipi angeweza kuishi Bila hawa? Sababu ni lazima angetenganishwa nae.hivyo akaamua kushiriki msiba ule wa mkewe.aliwaza kuwa,hawa alikuwa sehemu yake mwenyewe,na kama itabidi afe basi atakufa pamoja nae.
 
Aiseee

I need psychological counseling

Coz nikimsamehe atafanya Tena na hivi alivyoonesha kunichoka

Kumuacha ndo mtihani mwingine.
Wewe dogo sahau kumsamehe mwanamke na kumuacha hakuna kazi yoyote jikaze kiume hao wapo wengi kwa ajili yako tupa huyo tafuta mwengine maisha yaende,narudia sahau yaani wewe sahau kusema ktk maisha yako yote kwamba huyu mwanamke nimemsamehe mwanamke mchafu anaachwa there's no excuses usitafute faraja za kitoto hapa.

Wewe bado mdogo sana 27yrz old siyo umri wakuhangaika na malaya kwa kigezo cha kuwaita ni mchumba sijui tuna mwaka mmoja nataka nianze kuishi nae akimaliza chuo mwanamke akishafikia kuvua nguo na kupachikwa chuma cha moto na mtu mwengine huyo hana tofauti na wale wanaojipanga mabarabarani wakiinua nguo upaja mmoja ili mpatane bei,hilo ni tukio moja tu umesikia na haonyeshi kujali unadhani circle yake ni ndogo ukiondoa wewe?

Huyo ana mabwana siyo chini ya 20 that's why hajali anajua ukimkataa wewe wapo 19 wanamuhitaji issue ni je wapo waowaji kama unavyojifariji wewe?huyo atakuja akuuwe achana naye malaya huyo.
 
Pole sana mwamba. Unampenda sawa lakini jipe miezi 6 ya kuteseka tu. Hapo hakuna mwanamke tena.
 
Kijana mwenzangu naona umri tupo range sawa ila ndugu unafeli, Kwa mwanamke tunawekeza vitu ambavo atuwazi kuvipoteza kama kucha,nywele n.k ,Mi mpaka sasa nilipofikia ata demu wangu aniambie kesho tuachane na mjibu tu”POA” .Mwanamke si mtu wakumuamini ata sometime mama ako usimuamini kwa kila jambo ( keep on your mind). Umri wetyu ni wakutafuta “pesa” sana . Ukiwa na pesa utamla mpka ukoo wake wote . Kwaiyo acha ufala tafuta hela wanawake utaona wakawaida sana .
Krb Arusha mererani utaacha kulialia kifala








 
Jinyonge ili usiongeze idadi ya wanaume mabwege.
 
Ulitaka akatae then muanze kuzozana na migogoro. Amekupunguzia yote hayo, sasa fanya uhamuzi.
 
Aiseee

I need psychological counseling

Coz nikimsamehe atafanya Tena na hivi alivyoonesha kunichoka

Kumuacha ndo mtihani mwingine.
Kama hauko tayari kumuacha mwanamke, uwe tayari kwa ushenzi wowote kutoka kwake.

Unamkera kweli unavyokosa maamuzi, hujui tu
 
Aiseee

I need psychological counseling

Coz nikimsamehe atafanya Tena na hivi alivyoonesha kunichoka

Kumuacha ndo mtihani mwingine.
Acha kujidekeza kimama tumia akili aha kuendeshwa na hisia ...

mwanaume yoyte anayeruhusu kuendeshwa na hisia badala ya kutumia akili, ni lazima asilitiwe kama wewe wamempa mimba na kaitoa na bado unajidai kumpenda unataka akupe ngoma??

Wapo watu wenye matatizo yanayohitaji counselling sio hii story yako wewe unahitaji common sense kitu ambacho hauna..

Kimbia mbali huyo demu ana roho ngumu hautamuweza , hashindwi kukutoa kafara , kama kaweza kutoa mimba na bado wewe nae umepanga foleni tu hapo kama taira fulani
 
Fanya maamuzi magumu......huyo mwanamke alishakujua kwake hupindui ndio maana anakwambia ivo

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Kwanza pole Sanaa,nakushauri uachane na huyo msichana Kama saivi ameanza vimbwanga je ukiweka ndani si ndo itakuwa balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…