Nani aliyeanzisha huo uhuni wa kwaya kuimba kama wasanii wa bongo flavour na playback? Mchungaji Paul Semba yuko sahihi kukemea huo ushenzi. Hata katoliki mnaowasimanga hawawezi kufanya hiki kinachofanyika ndani ya SDA. Mkataeni shetani mapema kabla hajazidi kuharibu mambo.