Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Sifa za mtu anayetambulika kama mfalme:
1. Awe anamiliki ardhi yote anayotawala.
2. Awe na amri juu ya watu wote wa eneo lake kila wakati
3. Awe anamiliki mali zote katika eneo lake na kwamba kila raia awe anafanya kazi kwa ajili ya mfalme
4. Tamko la mfalme linakuwa sheria ambayo inatekelezwa mara moja
5. Mfalme ndio mwongozo wa tabia, mwenendo na tamaduni ya kila raia kwenye eneo lake
6. Mfalme anayo haki ya kumpatia au kumnyang'anya yeyote kitu chochote bila kuulizwa
7. Hukumu ya mfalme ni mwanzo na mwisho wa mabishano.
8. Mfalme anawajibika kiulinzi na kuhakikisha watu wake wanapata mahitaji yao ya kila siku.
Haya yote hayapo pale Uingereza. Kinachoendelea pale ni raia masikini wanakubali kuitunza familia isiyokuwa na mamlaka ya kiutawala juu yao.