Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
- Thread starter
- #41
Shule gani hiyo mlifundishwa zaidi ya kukaririshwa kuhusu sir richard turnbull na edward twinning?Kuhusu namna ya ufalme wa Uingereza tulifundishwa shuleni jinsi ulivyotofauti na Ufalme kama wa Eswatini nahisi wewe ulikua huingii darasani.