Uingereza haina utawala wa kifalme, kinachoendelea pale ni kiini macho

Hayo yote uliyosema ni kutokana na sheria ipi au ni wapi uliambiwa hizo ndo sifa za mfalme..reference please...au ni mazoea ndugu??
 
Salary Slip
 
Ndugu mtoa mada ninachokunasihi ni endelea kutafuta maarifa juu ya jambo kwani bado una safari ndefu sana kwenye kujielimisha juu ya jambo hili.....jambo zuri ni kwamba huu ni ulimwengu wa taarifa kiganjani
 
Ufalme wa Uingereza una taratibu na masharti mapya yanayohusu haiba na hadhi ya Mfalme..
 
Mbona kama umeelezea madarakani ya Rais wetu?
 
Hayo yote uliyosema ni kutokana na sheria ipi au ni wapi uliambiwa hizo ndo sifa za mfalme..reference please...au ni mazoea ndugu??
Model ya tawala za kifalme inafahamika ulimwenguni kote. Hata hiyo UK ilikuwa sehemu ya Roman empire ambayo utaratibu ulikuwa ndio huo nilioutaja.
 
Unadhani ufalme wa uingereza ukitamatishwa itaweza kuzitawala nchi nyingine? Itaibuka migogoro mikubwa kama ya Taiwan na China maradufu....

Wale jamaa ndo roho ya uingereza na ndo engine ya uingereza kukua kuheshimika!

Haya mambo ni mazito kuyaelezea ila tutaendelea kupeana elimu mdogomdogo
 
Kumbuka yeye ndio anayeteua waziri mkuu, kutoka kwa waliopendekezwa, yeye ndio mkuu wa kanisa la Anglikana. Kikatiba yeye ndio mkuu wa nchi,. yaani head of state
Sawa mkuu, lakini vigezo hapo juu vya mfalme hana. Ukiangalia vizuri hana mamlaka ya kuwafuta kazi hao uliowataja bila consent ya bunge au halmashauri ya kanisa la anglikana.
 
Ndugu mtoa mada ninachokunasihi ni endelea kutafuta maarifa juu ya jambo kwani bado una safari ndefu sana kwenye kujielimisha juu ya jambo hili.....jambo zuri ni kwamba huu ni ulimwengu wa taarifa kiganjani
Lete hapa hizo taarifa ambazo hatuna.

As the monarchy is constitutional, the monarch is limited to functions such as bestowing honours and appointing the prime minister, which are performed in a non-partisan manner. The monarch is also able to advise, generally done in secret, to change draft laws. The monarch is also Head of the British Armed Forces.

Mfalme gani maoni yake atoe sirini?
 
Ukibahatika kufika na kuishi Uingereza utakuja kufuta huu uzi wako.
F. Y. I kila kitu kipo chini ya Mfalme. Serikali/Prime Minister, Kanisa/Church of England, Bunge/House of Lords / House of Common, na vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama.
Mfalme ndio Alfa na Omega.
 
Kasome tena power yake hapo UK
As the monarchy is constitutional, the monarch is limited to functions such as bestowing honours and appointing the prime minister, which are performed in a non-partisan manner. The monarch is also able to advise, generally done in secret, to change draft laws. The monarch is also Head of the British Armed Forces.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…