Uingereza haina utawala wa kifalme, kinachoendelea pale ni kiini macho

Historically ni kweli lakini siku hizi wanakula maisha bure tu hamna lolote.

Juzi tu hapa scotland ilipiga kura kuamua kama wabaki au wasepe. Mfalme gani anatawala watu wanaojiamulia kama wawe chini yake au la?
 
Uingereza ipi unayoiongelea wewe? Hii ambayo wananchi wamepiga kura ya Brexit? Au ile ya Scotland kupiga kura kuona kama waendelee kutawaliwa na malkia au wasepe zao.

Ufalme wa wapi ambao subjects wanajiamulia kama wawe na mfalme au waondoke zao?
 
Shule gani hiyo mlifundishwa zaidi ya kukaririshwa kuhusu sir richard turnbull na edward twinning?
Tulifundishwa Civics Form II katika forms of government. Na kwenye kipengele cha Monarch tukaambiwa kuna two types of Monarchies. Constitutional Monarch na Absolute Monarch. Mfano wa Constitutional Monarch ni UK, na Absolute Monarch ni Swaziland ambayo sasa ni Eswatini.

Wewe ulidoji tu vipindi au hukua unaelewa ila tulifundishwa.
 
Nacheka tuu.
Wameanza kujisafisha.
Kama ndio hivyo kwanini aitwe mfalme? Kama hawana vigezo.

Uwongo huu. Wananawa. Mimoto imewaka.
 
Walipata wapi crown estate kama sio kwa waingereza wenyewe? Buckingham palace na Windsor castle ni mali za umma ambazo zinagharamiwa na waingereza.
ttzo la waafrika huwa akili haiangalii mbele , walipata enz wakiwa na mamlaka ila sasa hv hiyo familia ni sehem ya heshima ya utamaduni wao ili isipotee inatunzwa kwa assets ambazo awali walikuwa wanazimiliki km utawala , wenzio hawana njaa km zako , ushindwe kula lunch unawazia estate ya late Queen
 
Model ya tawala za kifalme inafahamika ulimwenguni kote. Hata hiyo UK ilikuwa sehemu ya Roman empire ambayo utaratibu ulikuwa ndio huo nilioutaja.
haikuwa sehem ya roman empire bali walitawaliwa kimabav na warumi , hlf akil yako inaonesha ww ni mvaa kobaz , hujui kuwa wenzetu huji update kuendana na muda
 
Usilolojua familia ya kifalme hawatunzwi na kodi za wananchi kama hawa wastaafu wetu, wana kitu kinaitwa Crown Estate, ni kama kampuni inayomiliki vitega uchumi, huu mfuko ndio unalipia gharama za ufalme
Kwa hiyo taarifa tunazoziona BBC, CNN ni za uongo???
Kuwa Wananchi wanataka fedha zao za kodi zisipelekwe westminster, au sijui Essex hall.

Duh
Tusilolijua, kha!
 
Historically ni kweli lakini siku hizi wanakula maisha bure tu hamna lolote.

Juzi tu hapa scotland ilipiga kura kuamua kama wabaki au wasepe. Mfalme gani anatawala watu wanaojiamulia kama wawe chini yake au la?
usipende ubishi au ndo unaitumia holiday yako vzr ya kujiandaa na NECTA
 
Hiyo elimu ya civics uliletewa na huyohuyo malkia uchwara. Ukaacha kujifunza elimu ya afrika ukawafuata wao.

Monarch zinajulikana tangu vizazi na vizazi kwamba lazima ziwe na mamlaka katika maeneo yao.
 
Uingereza ipi unayoiongelea wewe? Hii ambayo wananchi wamepiga kura ya Brexit? Au ile ya Scotland kupiga kura kuona kama waendelee kutawaliwa na malkia au wasepe zao.

Ufalme wa wapi ambao subjects wanajiamulia kama wawe na mfalme au waondoke zao?
wenzio wapo huru , na wananchi wapo huru kuamua , uongoz ni mfumo wa watu kujitawaka so popote unaeza rekebishwa ili ukizi matakwa ya raia , tofauti na dona country
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…