Bulelaa
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 1,342
- 3,247
Kwa hiyo na wewe unataka ukawe mkoloni huko?Hawa waingereza walisambaza ukoloni karibu robo ratu ya dunia leo wanarusha ngumi kiasi wahamiaji tu tena wanaoenda wakiwa hawana silaha yoyote kubwa hata membe na sindano za kuwajeruhi waingereza sidhani kama huwa nazo.
Madhara ya ukoloni na u are wa British empire sidhani kama hayo maamuzi hawa watu wanaya fahamu.
Waingereza wamefanya na waendelea kufanya na kuunga mkono uharibu sehemu mbalimbali duniani.
Watulie tu waya malice kwa njia ya amani.