Uingereza kunawaka Moto. Wenyeji wanapigana na Wahamiaji

Kwa hiyo na wewe unataka ukawe mkoloni huko?
 
Huyu FaizaFoxy anasema eti wazayuni ndio walioharibu mataifa yao hao wahamiaji!
 
Kama walishafanya wanashindwa nini kurudia tena. Unaikumbuka Spanish Reconqesta? Hawa jamaa hawawezi kushindwa wakiamua. Ni suala la muda tu
Dunia imegawanyika katika zama ama vipindi ni muhimu kutambua historia ya mabadiliko ya dunia.

Matendo mengi ya kale sasa hayawezi fanyika kabisa au kwa urahisi huo unaofikiri.
 
Nani alianza kumvamia mwenzake na kumuharibia nchi zake muingereza ua muarabu ?
Kuwe na mabadilishano, Waafrika walio tayari kufuata tamaduni za West na mfumo wa maisha wa huko waende Ulaya na US halafu hao Waarabu wahamiaji waje huku Africa.
 
Ina maana hizo nchi hakuna waislamu ambao ni wazawa wa hizo nchi kwa maana wazungu?
 
Wao waingereza walikaa muda gani kwenye maeneo ya wenzao kibabe ?

Tena tushukuru wahamiaji hawaingii kibabe kama walivyo waingereza
Unawatetea wanaopigika wewe ukiwa tandale kwa mtogole?

Warudi kwao, waliwapiga wazungu wakidai kujitawala, wanapokwenda huko, wanakwenda kumdai nini mzungu aliyewaachia nchi zenyu?
 
Muingereza kaiharubu mashariki ya kati ana jukumu kubwa la kuijenga upya na kuwapa hifadhi na usalama mkubwa watu wa kutoka eneo hilo sio tu eneo hilo bali karibu robo tatu ya dunia.
 
Tatizo na chanzo ni hawa jamii ya waarabu na dini yao hawatakagi kukaa kistarabu, wao kila saa ni kuwaza ugaidi tupy
We mpumbavu kwani Uarabu ndo walioko wingereza tu? Hidadi kumbwa ya wahamiaji ni Africa kutoka kwenye makoroni ya zamani ya uingereza wakifuatiwa na wa jamii ya wa Hindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…