Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Waziri wa mambo ya ndani Uingereza, Suella Braverman, amesema mtu kusema ananyanyaswa ama kutishiwa kushitakiwa au uhai wake, kwenye nchi yake ya asili kwa vile tu ni shoga, kusiwe sifa ya mtu kukubaliwa kuwa mkimbizi kwenye nchi za ulaya na Marekani.