Kichogo
JF-Expert Member
- Jun 10, 2016
- 2,094
- 3,218
Huko mombasa wamejaa teleMashoga wako pwani huko kwa dini yenu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko mombasa wamejaa teleMashoga wako pwani huko kwa dini yenu...
Nenda tu watakupokea ee shoga..... Hayo ni mawazo tu ya Waziri....... kama wanapokea wakimbizi wa ksiasa, kwa sababu kwao hakuna Demokrasia, kwanini wasipokee na hawa wanaonyimwa haki zao za kijinsia nchini kwao?
... AU WANA MASLAHI GANI MAALUM NA WAKIMBIZI WA KISIASA?
😅
Kwa hayo majina ya viongozi lazima wapigilie nyundo, wabongo tunasema kimeumana!Imetokea sana na wazungu hawana hiyana wanatoa sheria na kuwakubalia tena kwa kuwahurumia ila sasa naona wameshtukiwa maana hapa watawala ni watu wanaojua uongo wa watu kwa kujitafutia maisha
PM Rishi, Waziri wa mambo ya Ndani Suheila na pembeni kuna Mayor Sadiq Khan
Uholanzi Waafrika wengi wametumia njia hiyo kupatia pepa.Hii njia watu wengi sana wametumia hata kama sio mashoga ili mradi wapenye
Huo ndio ukweliBlack Sniper nimeisikiliza hotuba yake na nimeiona Iko poa sana,lakini si kwamba ni kamilifu.
Ila Kwa mfano mtu anatoka Sudan, anakwenda Libya anaishi mwaka nzima bila ya kudhuriwa, kwa Nini apande boti kwenda Lampedusa??
Ndio basi tena!!Wana kibao wameingia 'kiwanja' kwa gear hiyo.
Tatizo anaelengwa hapo ni mwafrika ila hawawezi kusema wazi kuwa hawawataki waafrika kwenye nchi zao.Imetokea sana na wazungu hawana hiyana wanatoa sheria na kuwakubalia tena kwa kuwahurumia ila sasa naona wameshtukiwa maana hapa watawala ni watu wanaojua uongo wa watu kwa kujitafutia maisha
PM Rishi, Waziri wa mambo ya Ndani Suheila na pembeni kuna Mayor Sadiq Khan
Mkuu tatizo la waafrika ni ngumu sana kubadilika na kujitegemeaTatizo anaelengwa hapo ni mwafrika ila hawawezi kusema wazi kuwa hawawataki waafrika kwenye nchi zao.
Rejea tamko la waziri mkuu wa Italia mrembo Giorgia Meloni ambae mapema mwezi September alisema kwamba wahamiaji wa kutoka Afrika (alitumia tu neno wahamiaji) ni tishio kwa mstakabali wa bara ya Ulaya.
Kisha baadae akasema Italia itajenga vituo zaidi (detetion Centres) vya kuwashikilia wahamiaji hadi miezi 18 kabla ya kushughulikia kesi zao za kuzamia kutaka ukimbizi.
Ukifika kwenye kisiwa cha Lampedusa ndo utaelewa jinsi viongozi wa Afrika walovyowatekeleza vijana wake ambao ndo kizazi cha kesho.
Huyo Suella Braverman nae alitaka kuhakikisha wahamiaji wengi waloingia UK kwa njia haramu wapelekwe Kigali kwa mazee PK ili kesi zao zishughulikiwe pale lakini wanasheria wa UK wa kesi za uhamiaji wamefanikiwa kuzima mchakato huo ambao umeonekana kuwa si wa kibinadamu.
Yaani huyu mdada alisafiri kabisaa kuingia KIgali kuangali mazingira mapya ya wahamiaji ambao wanepelekwa Rwanda lakini ikiwa ni njia ya kuwarudisha Afrika.
Afrika isimame yenyewe ichagame na viongozi wa kiafrika waamke wahakikishe nchi za Afrika zinakuwa zajitegemea zenyewe khasa kwenye masuala kama ajira, elimu bora, afya bora na lishe nzuri ili watu wake khasa vijana wawe na afya na akili zichemke wawe wabunifu na wapate ajira ndani ya nchi zao.
Wakifika kule wanatafutiwa bwana awagegede inakuajeHii njia watu wengi sana wametumia hata kama sio mashoga ili mradi wapenye
Hayo ni mawazo yakoWakifika kule wanatafutiwa bwana awagegede inakuaje
Halafu wanapelekwa kwa wenzao wanapelekewa kweli moto kisha ushoga ndio wanauanzia huko.Kwamba unasingizia kuwa unapelekewa moto???