Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Kuna wakimbizi na kuna economic migrant hawa ndio hawatakiwi hao wanaoingia kwa mitumbwi na wameshindikana... kama wanapokea wakimbizi wa ksiasa, kwa sababu kwao hakuna Demokrasia, kwanini wasipokee na hawa wanaonyimwa haki zao za kijinsia nchini kwao?
... AU WANA MASLAHI GANI MAALUM NA WAKIMBIZI WA KISIASA?
😅
Pia Kuna wale ambao wanatoka nchi kama Turkey au India na kudanganya kuwa ni watu wa sehemu zenye vita huku wakiwa wamechana passports zao
Huo ni mfano tu maana kuna nchi nyingi watu wanaingia na kudanganya kuwa ni waliotoka kwenye vita
Hao sio wakimbizi