Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kwamba unasingizia kuwa unapelekewa moto???Hii njia watu wengi sana wametumia hata kama sio mashoga ili mradi wapenye
WanavyosemaKwani jamaa sio rizki
Imetokea sana na wazungu hawana hiyana wanatoa sheria na kuwakubalia tena kwa kuwahurumia ila sasa naona wameshtukiwa maana hapa watawala ni watu wanaojua uongo wa watu kwa kujitafutia maishaKwamba unasingizia kuwa unapelekewa moto???
Ni waziri gani huko uk ambae ni shoga???Imetokea sana na wazungu hawana hoyana wanatoa sheria na kuwakubalia tena kwa kuwahurumia ila sasa naona wameshtukiwa maana hapa watawala ni watu wanaojua uongo wa watu kwa kujitafutia maisha
PM Rishi, Waziri wa mambo ya Ndani Suheila na pembeni kuna Mayor Sadiq Khan
Mi sio nabii ila kuna mtu ametupiwa jiwe la gizani hapa.... kama wanapokea wakimbizi wa ksiasa, kwa sababu kwao hakuna Demokrasia, kwanini wasipokee na hawa wanaonyimwa haki zao za kijinsia nchini kwao?
... AU WANA MASLAHI GANI MAALUM NA WAKIMBIZI WA KISIASA?
π
Sidhani kama kuwa shoga ni jambo la kupewa ukimbizi. Lakini mwanasiasa mara nyingi huwa anasimamia maslahi ya watu wengi dhidi ya watawala dhalimu waliopo madarakani.... kama wanapokea wakimbizi wa ksiasa, kwa sababu kwao hakuna Demokrasia, kwanini wasipokee na hawa wanaonyimwa haki zao za kijinsia nchini kwao?
... AU WANA MASLAHI GANI MAALUM NA WAKIMBIZI WA KISIASA?
π
Jibu hili si lako; jibu toka kwa Jibril hili.Sidhani kama kuwa shoga ni jambo la kupewa ukimbizi. Lakini mwanasiasa mara nyingi huwa anasimamia maslahi ya watu wengi dhidi ya watawala dhalimu waliopo madarakani.
Kuwa shoga mtu anachagua mwenyewe.
Uki Google wapo wengi ila sio mawaziri bali wanasiasa wengi tu mashoga na wanajulikana na wengine wamejitangaza kabisaNi waziri gani huko uk ambae ni shoga???
Wamefanikiwa kuifanya jamii iangalie wanachokifanya na siyo aina ya maisha wanayoishi.Wameingia sana kwenye taasisi nyeti na kila sehemu hata USA kuna Moyor watatu ni mashoga
Hakuna kitu mkuu hii speech ya huyu waziri kuna watu wameiponda sana na kusema ameongea kwa dhihaka na kuwaponda wengi... kama wanapokea wakimbizi wa ksiasa, kwa sababu kwao hakuna Demokrasia, kwanini wasipokee na hawa wanaonyimwa haki zao za kijinsia nchini kwao?
... AU WANA MASLAHI GANI MAALUM NA WAKIMBIZI WA KISIASA?
π
Aisee wanalindwa sana na wana nguvu sana ila huwaoni na kama unavyosema hawako wengi ila wanavumaWamefanikiwa kuifanya jamii iangalie wanachokifanya na siyo aina ya maisha wanayoishi.
Hawako wengi Lakini wanaishi kimkakati sana.