Uingereza: Kuwa shoga kusiwe kigezo cha kukubaliwa kuwa mkimbizi

... kama wanapokea wakimbizi wa ksiasa, kwa sababu kwao hakuna Demokrasia, kwanini wasipokee na hawa wanaonyimwa haki zao za kijinsia nchini kwao?
... AU WANA MASLAHI GANI MAALUM NA WAKIMBIZI WA KISIASA?

😅
Kuna wakimbizi na kuna economic migrant hawa ndio hawatakiwi hao wanaoingia kwa mitumbwi na wameshindikana
Pia Kuna wale ambao wanatoka nchi kama Turkey au India na kudanganya kuwa ni watu wa sehemu zenye vita huku wakiwa wamechana passports zao
Huo ni mfano tu maana kuna nchi nyingi watu wanaingia na kudanganya kuwa ni waliotoka kwenye vita

Hao sio wakimbizi
 
Wameyataka maana waliutangaza kwa nguvu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii njia watu wengi sana wametumia hata kama sio mashoga ili mradi wapenye
Wale Wakenya waliojifanya mapunga wakapewa hifadhi ya ukimbizi huko uingereza walipofika wakapewa makazi mazuri kweli ya kuishi
Ilipofika jioni siku ya pili wakatembelewa na mibasha ya kiingereza watoke wakaliwe.. Waoneshe ufundi wa Mombasa [emoji23] jamaa wakang'aka kuwa wao sio mapunga!

Walipakiwa next flight kurudi Kenya [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😄 🤣 😂
 
Ahhahahahahahah noma sana
 
Wafanye tu kwamba mtu akijisema yeye ni shoga, akifika huko kwao apewe "mume" wa kumtafuna uwemba kwa lazima...
 
Ni jambo zuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…