Uingereza: Mtaalam wa masaji atupwa jela miaka 4 kwa kurekodi video za wateja wanawake zaidi ya 900

Uingereza: Mtaalam wa masaji atupwa jela miaka 4 kwa kurekodi video za wateja wanawake zaidi ya 900

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Mtaalamu wa Masaji (anayewafanyia Watu massage) Julian Roddis wa Uingereza amehukumiwa miaka minne Jela kwa kosa la kutumia camera ya siri iliyofichwa kwenye saa yake kuwarekodi Wateja Wanawake waliofika kufanyiwa Masaji.

Uchunguzi umebaini kuwa ametumia miaka miwili kuwarekodi Wanawake zaidi ya 900 na amekutwa na video zaidi ya 2000 za matukio ya Wanawake tofauti wengine wakiwa bila nguo.

Mmoja wa Wateja Wanawake alifichua siri hiyo baada ya kuwa na wasiwasi na saa ya Julian na alipoenda kuigoogle akajiridhisha kuwa ni saa ambazo huwekwa camera pia.

“Baada ya kurekodi alikuwa anaunganisha camera na laptop na kuanza kuangalia”

=========

45236185-9772697-image-m-32_1625831378494.jpg

A massage therapist who secretly recorded more than 900 women undressing using a hidden camera has been jailed for four years.

Julian Roddis, 50, used recording equipment disguised as a clock to gather 2,000 images of his clients over two years.

Roddis, of Peterborough, Cambridgeshire, would watch the videos by plugging a USB attached to the clock into his laptop.

His crimes came to light when one of the women became suspicious of the clock and researched it online – where she found an identical device with a hidden camera.

Roddis was arrested and the clock was seized. Police quickly uncovered 2,000 video files.

Roddis admitted filming the women and was charged with nine counts of voyeurism.

A massage therapist who secretly recorded more than 900 women undressing using a hidden camera has been jailed for four years

He pleaded guilty at Peterborough Magistrates’ Court on April 30 and was yesterday sentenced to four years in prison.

Detective Constable Helen Keighley, who investigated, said: ‘Many will read this case and think of what happened to these women as nothing short of a nightmare.

‘I can only imagine the woman’s horror when she discovered the clock in the massage room was in fact something much more sinister.

‘Roddis had set up working as a masseuse but abused hundreds of women’s trust by privately filming them.

‘I hope the conviction gives the victims in this case a sense of closure and allows them to move on.’

He pleaded guilty at Peterborough Magistrates’ Court (pictured) on April 30 and was yesterday sentenced to four years in prison
 
Laki 2 massage? Aisee lazima kuna Happy ending humo, akii sitotaka babe aende huko kabisa[emoji848]
He he he mikocheni huko. Zimejaa tele. Sijajua bei kama ni uniform kote ama lah. Kuna packaging balaa. Ni hatari sana.

Unakuta libaba limetoka ndani ya gari limejichokeaaa halaf linakua na machale kama anafumaniwa hv. Hatari sana. Sitaman hata mm partner wangu aje kuingia humo.
 
Tatizo wadada waliopo humo full ukurutu
Kwamba wachafu?[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] ila kweli ni vya kiswahili sana. Vimejichubuaaa. Nilivyo muoga kila mfanyakazi wa massage nikimwangalia naona UKIMWI tu umejiandika mwili wake mzima. Majorityare not proffessionals. Ni mburasi tu wanataka wateja wenyewe. Vidada vingine vimejichubua balaa
 
Kwamba wachafu?[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] ila kweli ni vya kiswahili sana. Vimejichubuaaa. Nilivyo muoga kila mfanyakazi wa massage nikimwangalia naona UKIMWI tu umejiandika mwili wake mzima. Majorityare not proffessionals. Ni mburasi tu wanataka wateja wenyewe. Vidada vingine vimejichubua balaa
Ndo shida ilipo.
 
Back
Top Bottom