Uingereza: Mtaalam wa masaji atupwa jela miaka 4 kwa kurekodi video za wateja wanawake zaidi ya 900

Kwamba wachafu?[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] ila kweli ni vya kiswahili sana. Vimejichubuaaa. Nilivyo muoga kila mfanyakazi wa massage nikimwangalia naona UKIMWI tu umejiandika mwili wake mzima. Majorityare not proffessionals. Ni mburasi tu wanataka wateja wenyewe. Vidada vingine vimejichubua balaa
250k kwa kidada kilichojichubua niwanatupiga sana hela. 100 usd kwa daslam hapa unapata mtoto Kama ameshushwa vile
 
Ha ha ha ha kina suguu. Halaf kichwani kimepaka easy wave nywele zimelambwaaa balaaa. Kama mbwa ametapika[emoji23][emoji23] daah.. nimewahi weka hiyo easy wave mamangu akanambia kama unelambwa na mbwaa. Kiliniumaagaa enzi hizoo[emoji23] sasa ndo kidada kimejichubuaa, chembambaa, kina sugu mikononi na miguuni, nywele kama zimelambwa halaf kikumasaji[emoji23][emoji23][emoji23] acha tuzidi kuwa na roho mbaya kwenye mbususu zetu tu
 
Kinavobinua midomo Sasa.. kinajikuta Kama kinatoka ukoo wakardashian
 
michezo ya kuficha kamera za siri nimewahi kusikia pia ikifanywa na wamiliki wa nyumba za kulala wageni dar es salaam.

mnaopenda kwenda "kubanduana" na mahawala zenu kwenye guest houses/ lodges mchukue tahadhari.

ipo siku mtakuja kukutana na video zenu kwenye ma group ya whatsapp.

ndio maana wajanja wanatenga safe houses kwa ajiri ya kazi hiyo, hawaendi guest houses/ lodges.
 
Baharia kama baharia[emoji23][emoji23][emoji898]
 
Back
Top Bottom