Nilifanyiwaga skrab na mdada mmoja kajichubua mikono lainii, miaka hiyo!Kwamba wachafu?[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] ila kweli ni vya kiswahili sana. Vimejichubuaaa. Nilivyo muoga kila mfanyakazi wa massage nikimwangalia naona UKIMWI tu umejiandika mwili wake mzima. Majorityare not proffessionals. Ni mburasi tu wanataka wateja wenyewe. Vidada vingine vimejichubua balaa
Na ushamba wangu huu badae nikanza kujiuliza, hivi hakuna msuguano kweli wa kuniambukiza ngoma?