mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Kweli walisemaga wazungu never argue with a fool people might not notice the difference !! Naona tuachie hapo !!Acha ujinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli walisemaga wazungu never argue with a fool people might not notice the difference !! Naona tuachie hapo !!Acha ujinga
Tulikuwa Tunaenda Kwa Mkuu wa Mkoa na Kwa Waziri so yalikuwa na uzitoKwani maandamano ya chuo na sekondary yana uzito sawa na maandamano ya kisiasa yanayogusa maslahi ya Mambuzi moja kwa moja.
Sawa Mr foolKweli walisemaga wazungu never argue with a fool people might not notice the difference !! Naona tuachie hapo !!
Naona nikuache tu maana sasa umeanza kuleta masihara yaani maandamano ya chuo unalinganisha na maandamano ya siasa, hayo hata kama mngekuwa mnaenda kwa rais.Tulikuwa Tunaenda Kwa Mkuu wa Mkoa na Kwa Waziri so yalikuwa na uzito
Okay 👍Sawa Mr fool
C
Cholo mbona una hasira sana 🥹🥹
Hello Wadau,
Binafsi naunga mkono Katiba Mpya ila siungi mkono Katiba Mpya ya kuondoa wahuni wa CCM na kuleta wahuni wa Chadema,nataka Katiba Mpya ambayo ni takwa la Wananchi na mda ndio utaileta watake au wasitake.
Baada ya huo utangulizi, Lisu na Chadema wamekuwa wanawadanganya watu kwamba Katiba Mpya ndio suluhisho na muarobaini wa matatizo Yao ya kiuchumi na kwamba Wao wanapigania Hilo Ili watu wapate neema.
Wamefika mbali wanasema maharage kuwa Juu ni sababu ya Kisiasa kwamba Katiba Mpya itatatua Ugumu wa Maisha, mfumuko wa bei nk.
Sasa huko Uingereza na Ufaransa kwenye Katiba Mpya na Bora watu Wanaandamana Kwa sababu za Ugumu wa Maisha uliosababishwa na mfumuko mkubwa wa bei za chakula na nishati kiasi kwamba uchumi ni mgumu.
Kwa kuwa kina Lissu na Chadema ndio mabingwa wa Katiba za kuleta Maisha Bora Kwa Wananchi,nitoe wito kwao wakachangamkie tenda huko Ufaransa na Uingereza au hata Kenya.
Za kuambiwa changanya na zako,kataa wahuni ogopa matapeli wa Kisiasa👇
Uzuri ni kwamba mabadiliko Huwa hayalaximishwi,yatakuja yenyewe Kwa wakatiMtu yeyote asiyependa mabadiliko ya katiba iliyopo Tanzania aidha anafaidika kibibafsi na katiba iliyopo au ni mjinga mkubwa na hajui kwanini katiba mpya iwepo.
Maendelea yanapatikana hata bila Katiba ya kulazimishwaNi sawa tu na kusema maendeleo huwa hayalazimishwi yatakuja tu yenyewe. Kweli? Ndio maan Africa hatuendelei.
Wewe ndio typical Africans, wajinga, wanapenda pesa za wazungu lakini hawapendi ustaarabu na uchapakazi wa wazungu.Maendelea yanapatikana hata bila Katiba ya kulazimishwa
Kwani katiba hii inakataza maandamano?Kungekuwa na katiba mpya watu wange andamana na suluhisho lingepatikana kwa sababu hakuna katiba mpya watu wanalala na njaa kama mtoa mada wanaugulia ndani kwa ndani. Basi endelea kufuatilia huko ulaya majibu ya suluhu watatoa kwa ajili ya huo huo mgomo ila si hapa bongo. Maadui ambao bado tunapambana nao mpaka leo aliotuachia mwalimu ni ujinga, maradhi na umasikini. Mtoa mada wewe ni ushahidi una ujinga, maradhi na umasikini;
Hao wajinga wakubwa wasiojua kwanini katiba mpya iwepo na wenye kujua kwa nini katiba mpya iwepo unadhani ni kundi gani ndio wako wengi?Mtu yeyote asiyependa mabadiliko ya katiba iliyopo Tanzania aidha anafaidika kibibafsi na katiba iliyopo au ni mjinga mkubwa na hajui kwanini katiba mpya iwepo.
kweli kabisa hasa kutowajibika uvivu wa watawala na wizi ni hatariAfrika hata tuletewe katiba iliyotungwa na Malaika huko mbinguni haiwezi kutusaidia chochote amini nakuambia.
Tatizo la Africa lipo kwa watu wake wenyewe ambao wana Sifa zifuatazo:
1. Uvivu
2. Njaa
3. Umasikini
4. Wizi
5. Kutowajibika
NASEMA HIVYO KWA SABABU HATA HII YA SASA INA MAMBO MAZURI AMBAYO HAYAFUATWI mfamo mzuri alivyoingia rais wa ajabu hapa nchini Hayati JPM. Hata ukichagua nani lazima atupige tu
sio watanzania wote sema watawala wa kiafirika watu binafusi mbona wanasimamia miladi yao vizuli tuHii ipo Wazi kabisa MKUU. Watanzania ili wabadilike ni lazima waache hayo uliyo yaorodhesha.
Hawa pendi kujituma ila wanapenda Fedha. Unamwajiri Kijana Anakuja kazini SAA 4 wakati wewe boss SAA 11 Alfajiri umeshafika ofcn Alafu ndio wakwanza kulalamika kuongezewa mishahara.
ukiwemo wewe..1. Ujinga
2. Uvivu
3. Uzembe,
4. Majungu
Hapo humtoi kivyovyote muafrika
Katiba inaruhusu lakini maza akiamua maandamano yasifanyike yeanasakizia polisi tu, kama alivyokuwa anafanya jiwe na hakuna kitu cha kumfanya.Kwani katiba hii inakataza maandamano?
Nakubaliana na wewe lakini sijui kama hiyo ni order of priority. Kama ndio, ningependa kuona namba 5 ndio inakuwa moja. Mleta mada anashindwa kujua kuwa hayo maandamano ni kutafuta uwajibikaji sisi kwetu kuwajibika ni kuacha kazi au madaraka. Kwa wenzetu kuwajibika ni kurekebisha hali kwa kubadili mifumo, vipimo, sheria/taratibu nk. Ni watu wa aina ya mleta mada watakopungua au kukosa ngu ndipo tutaona matatizo yetu yatamalizwa na sisi wenyewe - kama anawaza Lissu na Chadema waende ufaransa, hapa kwetu nani atakuja??? Hawezi kujibu hili.Afrika hata tuletewe katiba iliyotungwa na Malaika huko mbinguni haiwezi kutusaidia chochote amini nakuambia.
Tatizo la Africa lipo kwa watu wake wenyewe ambao wana Sifa zifuatazo:
1. Uvivu
2. Njaa
3. Umasikini
4. Wizi
5. Kutowajibika
NASEMA HIVYO KWA SABABU HATA HII YA SASA INA MAMBO MAZURI AMBAYO HAYAFUATWI mfamo mzuri alivyoingia rais wa ajabu hapa nchini Hayati JPM. Hata ukichagua nani lazima atupige tu
ukiwemo wewe..