Uingereza wamebaki na hifadhi ya Gesi ya Wiki moja tu huku Tanzania majadiliano ya Mradi wa LNG yakichukua mwaka wa 4 sasa hayajakamilika

Uingereza wamebaki na hifadhi ya Gesi ya Wiki moja tu huku Tanzania majadiliano ya Mradi wa LNG yakichukua mwaka wa 4 sasa hayajakamilika

Pole yao sana...
Washapata kisingizio cha kuto kuaga, kisingizio hakuna gesi...


Cc: Mahondaw
 
Ni vizuri kujielimisha mambo kabla ya kuandika vitu vya kufirika.

Uingereza itaishiwa gas?

Energy security ni national priority number 1 ya nchi zilizoendelea.

Matakwa ya IEA kila nchi inatakiwa kuwa na reserve ya miezi mitatu ili kuweza ku-source kutoka sehemu za mbali bila ya madhara iwapo source moja itapata madhara.

Hawa watu baada ya 1973 energy crisis, sasa hivi wana reserves za miezi hata sita na zaidi na diversity source za nchi kadhaa kwa lead time zao (na bado wana sponsor baadhi ya makampuni kufanya exploration kutafuta new sources).

Wana diverse sources of supply

Bado uingereza yenyewe ina source zake North Sea na kuna maeneo ya North Sea ambayo yapo kwenye mipaka ya Norway chini ya (Equinor) lakini nao awawezi muuzia mtu yeyote zaidi ya U.K.

Wana pipelines za Equinor na Shell kutoka North Sea mpaka U.K.

Unadhani hawa watu wanachukulia energy security mzaha. Siku uingereza ikikosa energy sources watu wengi vibarua vyao vitaota nyasi hiyo ni number 1 national security agenda kwa nchi zilizoendelea.

Achana na hadithi za magazeti

Hao wanaotaka kuvuna hiyo gas ya mtwara japo ni makampuni ya mabeberu wanalenga kupeleka Asia, sio Europę au Asia; wenyewe wana source zao.

Unadhani swala la energy security kwa nchi zilizoendelea ni la mzaha.
 
Mleta uzi ulitakiwa ujue, wanataka cheap energy.
Fanya cost analysis ya kusafirisha gesi kutoka Russia kwenda Ulaya na TZ ulaya
Angalia delivery time na cubic metre
Utagundu bado ya Tz ingekuwa costful, na utaitaji tankers nyingi, maana hakuna pipe
 
Kama wanataka cheap ndipo wawekeze basi ni vyema kusubiri
 
Back
Top Bottom